Kamanda Muliro atinga Kanisani Kwa Gwajima Ubungo

Kamanda Muliro atinga Kanisani Kwa Gwajima Ubungo

WATANZANIA ni masikini na wanajiaibisha kwa umasikini wao. Tanzania ni taifa la laana, laana haitatoweka mpaka tutakapotoka kwenye makucha ya Nyerere.
 

Attachments

  • IMG-20250609-WA0000.jpg
    IMG-20250609-WA0000.jpg
    46.1 KB · Views: 13
Ili waende sawa na serikali ,waumini wa kanisa la ufufuo na uzima wanatakiwa kuwaachia hayo majengo serikali alafu wenyewe wawe wanafanya ibada kwenye majengo ya nyumba zao wanachagua sehemu moja kwa muumini wanakuwa kila jumapili wanaenda kusali wanaendesha misa kabisa ,kanisa ni sehemu yoyote tuone kama serikali itazuia watu kukusanyika na kusali nyumbani kwa mtu.
Au kila askofu wa ufufuo na uzima atafute uwanja wa wazi wafanye ibada maisha yaendelee wawaache serikali wanawalindia majengo yao
 
Back
Top Bottom