Kamanda Muliro atinga Kanisani Kwa Gwajima Ubungo

Kamanda Muliro atinga Kanisani Kwa Gwajima Ubungo

Nguvu inayotumika tungewekeza japo robo yake kwa wale wote wanaofisidi nchi hakika tungekua na Tanzania ya asali na maziwa hapo mwananchi ka report Kituoni huko wilayani kwako utaambiwa gari haina wese
 
Kama umeamua kuwa mpinzani usiwategemee wafuasi wa Chadema.

Walimsifu Gwajima jasiri sasa ana jihangaikia mwenyewe wao wamehamia kwenye episode ya Iran vs Israel.
 
Kamanda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Muliro Jumanne Muliro akiwa nje ya kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church).

Pia, Soma
Source: Jambo Tv
Muambieni Muliro aache kabisa kuingilia masuala ya kanisa. Anathema na moto. Kwanza yeye ni Jumanne kwakuwa hamjui Mungu wa Israeli basi atakuja kushtuja it is too late.
 
Wanaanza kupiga kambi majumbani na kushika majizi yaliyotajwa na CAG lini?

IMG-20240826-WA0002.jpg
 
Mimi hata sielewi si nasikia kanisa halijafungiwa ?
 
Nchi hii hatuna viongozi kwa sasa.
Kuna rafiki yangu aliniambia Askari polisi hawana mapumziko ya kazi wao kila siku kazini tu kweli nimeamini, yani Kamanda mkuu wa Polisi Kanda yani hakuna kulumzikia Wikiendi.
 
Wapo spidi kujifanya wanatuliza ghasia,ila wakisikia sehemu kuna majambazi yameteka na yana mashine za maana huwa hawasogezi pua
 
Back
Top Bottom