Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,831
- 4,343
Safari hii side B mtatoa laana kama zote watu wameshabadili password au mnadhani mlivyoweza ya mwendazake basi mambo yataendelea vilevileOktoba hatoboi.

Haha shuhuda zipo za kutosha waislamu kwenda kwenye makanisa ya kilokole mkuu.Huyo ni mwislamu! Hasali kanisani ila msikitini.