Mkuu hutaki gari lako lipendeze..teheteheteheeeNilikuwa na fog light zilizokuja na gari, juzijuzi nikakamatwa, nikawalipa buku 30 baada ya mabishano makali sana, nimezindoa sitaki lawama wala ugomvi
Mzee, huku kupendezesha kwa kujikarahisha mimi siwezi. Gharama zisizo na msingi hazina maana na maisha yenyewe yamekuwa magumu sana, inaumiza sana unapoitoa pesa bila sababu maalum.Mkuu hutaki gari lako lipendeze..teheteheteheee
Hapana, hizo hazina madhara.Tangazo ulishasikia na taa haziwaki si uzitoe sasa kama amri ya Kamanda Mpinga alivyoitoa.
Ukiendesha gari nite halafu ukapigwa Nazo usoni mkiwa mnapishana ndo utajua madhara yake.
Shida tuna kariri ni vigumu kuelewa.
Sio man made?
Man made ni kitu ambacho hakijatengenezwa na mwanadamu.Shida tuna kariri ni vigumu kuelewa.
Mtafute miss chagga akueleweshe vizuri, dada ni mwelewa sana.Man made ni kitu ambacho hakijatengenezwa na mwanadamu.
Kama vile
Roho
Mtu
Hewa
Maji
Na vingine vingi.
Hapana, hizo hazina madhara.
Nikutii tuu,OK may be sasa tunafanye hapo kama hazina madhara na trafiki ndiyo wanakamata na faini jui
Basi sawa, hapo tumeelewana yaani.
Msanii Ney wa Mitego amedai kuna nyimbo atakayoiachia hivi karibuni amabayo itaudhi watu wengi japo kuna baadhi itawafurahisha, nyimbo hiyo itakuwa na video kali ila hajasema ataifanyia wapi
Mkuu ni maelekezo toka juu ili zipatikane hela za kujenga viwanda,nilivyomuelewa kamanda taa zilizokuja na gari hazina Shida ila zile za kuongeza kwa kununua mtaa wa Lumumba ndo Shida,ila kwa sababu wanaojua wao na maelekezo toka juu zaidi wanafanya kila liwalo wa meet target
Maana yake kama ni originary made from manufacturers hazina tatizo lakini za kuweka tu mtu anavyojisikia hapo ndiyo tatizoUfafanuzi ni muhimu, nadhani hata mimi yaweza nikuta mimi pia Escudo yangu imekuja na taa kama hizo anazoongelea mleta mada na huku njombe ukungu ndio wenyewe
Chaaaa nawe... Hivi wakati wanakukamata walikuuliza zinawaka au laaa... Ondoa tu mkuu elfu 30 ni kubwa mno aisee...Jana walinikamata kwa kosa hilo, nilichofanya leo nimeenda kwa fundi akazi-disconnect, hivyo hazifanyi tena kazi, je, bado ninavunja sheria kwa kutoziondoa japo hazifanyi tena kazi? Msaada tafadhali. (Sitaki kuziondoa maana zinapendezesha mno gari)