Kongwamaji
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 560
- 145
Hawa traffic wameshindwa kazi wamebaki kudandia vitu ambavyo walitakiwa wamedhibiti tangu mwanzo. Sasa mara spotlight mara road saftey stickers. Magari mabovu kabisa ni ya traffic wenyewe na yana hizo stickers. Stickers zinauzwa na hao hao traffic bila ya gari kukaguliwa. Hii ndo tz bwana.