Kamanda Mpinga tunaomba ufafanuzi

Kamanda Mpinga tunaomba ufafanuzi

ufafanuzi kutoka kwa Kamanda ni huo
 
Attachments

  • mpinga.jpg
    mpinga.jpg
    19.9 KB · Views: 34
Mtakumbuka kuwa kamanda ulitangaza taa zote za ziada za mwanga mkali ziondolewe ktk magari haraka sana,sasa Jana nimepita na ka rav4 kangu kana taa(spotlight) ambazo Zimekuja na gari toka japani,taa hizi siitumii maana wajuvi wa masuala ya magari wanasema zinatumika wakati wa ukungu,na pia kwa sasa haziwaki.sasa hawa vijana wako kamanda wamemkamata na kusema hizo ni mojawapo wa taa ulizoagiza zitolewe na wameniandikia faini elfu 30,mpaka sasa sijalipa kwani kwa uelewa wangu hizi taarifa hazihusiani na zile alizolenga kamanda mpinga.kamanda kama unapita humu au kama kuna mwenye kuweza kutoa ufafanuzi naomba na pia nashauri kabla ya kukamata na kupiga faini elimu itolewe kwa SS wenye magari na pia Askari waelimishwe ni nini hasa cha kufanya maana umekuwa kero sana.
 
Attachments

  • mpinga.jpg
    mpinga.jpg
    19.9 KB · Views: 48

Rav4.jpg

kama hizi eee??
 
Tangazo lile la Kamanda Mpinga kwakweli halijaeleweka na hakuna elimu ya kutosha iliyotolewa kufahamu ni nini ambacho Mpinga hakitaki. Kinachoendelea sasa hivi ni mtu tu ambaye anaweza kutoa maelekezo anatoa bila kuzingatia utafiti na takwimu zinazoonyesha kuwa hizo taa ni tatizo. Taa za magari hata hizi za kawaida zikitumika vibaya wakati wa usiku zinaweza kuleta usumbufu kwa watumiaji wengine, tena ningemuelewa kamanda mpinga kama zoezi hilo lingefanyika usiku kubaini madereva wanaotumia taa isivyo sahihi. Kinachotakiwa sio kuondoa taa bali ni kutoa elimu kwa wenye magari yenye hizo taa ili kuhakikisha kuwa wanazitumia kwa usahihi.

Jeshi la Polisi lijitahidi sana kufanya tafiti ya vyanzo halisi vya ajali kuliko kufikiri mambo yasio na uhusiano wa moja kwa moja na vyanzo vya ajali.
 
Hizi toa tu mkuu utalipa 30,000 kila wakikudaka.

rav4-jpg.461876
 
Nimefurahi kweli kweli. Ati hizo ni fog light na sio sport light. Wewe endelea kuziacha hapo lakini kila ukitoka na gari, weka 30 yako hapo kwa dash board usizitafute kwa wallet. Hakuna askari trafick mwenye nafasi ya kuja kuangalia fog light au sport light. Wanachotaka waone tu taa 2 mbele. Gari zile za taa 4 nazo kwao wanakusimamisha na kukuamuru uziwashe waangalie kwa nini zipo 2 kila upande na wajiridhishe hujafanya modi kwenye shoo ya gari. Vijana wa Kamanda Mpinga nawaogopa ka ugonjwa. Tangu waanze kujichimbia vichakani ati kukamata mwendo kasi, nimewaogopa.
Hivi uwa kuna spotlights na sport lights eh?
 
GARI NYINGINE ZINA HIZO TAA TOKA ILIPOTOKA HUKO UGHAIBUNI. NA UTAGUNDUA USIKU USIPIZOWASHA MWANGA UNAKUWA MDOGO SANA KWA KUONA MBELE. UKWELI SIO MWANGA KAMA WA HIZO WALIZOUNGANISHA HAPA NCHINI. JE NI SAWA KUUTOZA FAINI? NADHANI MATRAFIKI WAANGALIE KWANZA KAMA TAA NI ZA KUUNGANISHWA HAPA NI KAMA HILI SWALA LA NGAO ZA KWENYE MAGARI
 
Lakini hata kama hizo taa zako zinawaka kawaida Foglights huwa hazina mwanga unaoumiza macho.Nadhani kunahitajika maboresho kwenye hilo tamko.
 
Mtoa mada huna haja ya kulalamika kama gari ilikuja na hizo taa, aliekuwa anaitumia hiyo gari yako ndio aliongeza hayo mataa, la kufanya ni kufuata maagizo ya jeshi la polisi tu.

Kusema ukweli kwa wanaosafiri usiku hasa barabara kubwa, pindi ukikutana na wajinga wenye haya mataa wakakupiga nayo ni lazima upaki, hata ukijifanya kumuwashia vi full light vyako ndio atakukomesha,
tena usiombe ukutane na ile milori ya kusomba mchanga au kokoto
 
Jana walinikamata kwa kosa hilo, nilichofanya leo nimeenda kwa fundi akazi-disconnect, hivyo hazifanyi tena kazi, je, bado ninavunja sheria kwa kutoziondoa japo hazifanyi tena kazi? Msaada tafadhali. (Sitaki kuziondoa maana zinapendezesha mno gari)
 
Ufafanuzi ni muhimu, nadhani hata mimi yaweza nikuta mimi pia Escudo yangu imekuja na taa kama hizo anazoongelea mleta mada na huku njombe ukungu ndio wenyewe
Shida hapa ni lugha iliyotumika na sio dhamira. TAA ZILIZOKUJA NA GARI ndio neno linalochanganya watu hapa.

Labda na tuanze na KUJA KUTOKA WAPI? Agizo la Kamanda linalenga kuziacha TAA ZILE ZILIZOWEKWA NA MANUFACTURER TU na si vinginevyo. Gari lako la mtumba kama limetoka Japan au India, na huko lilikokuwa likitumika awali ndiko walikokuwa wameongeza taa zaidi ya zile ambazo manufacturer aliweka...zitoe kabla 30 haijakuhusu.

Taa zote zaidi ya zile alizoweka muundaji wa gari lako zinahusika na zoezi hilo...watch out.
 
Jana walinikamata kwa kosa hilo, nilichofanya leo nimeenda kwa fundi akazi-disconnect, hivyo hazifanyi tena kazi, je, bado ninavunja sheria kwa kutoziondoa japo hazifanyi tena kazi? Msaada tafadhali. (Sitaki kuziondoa maana zinapendezesha mno gari)
Kama una kibali cha kuwinda, toa kopi kuwa nayo kwenye gari, na hizo taa zishonee cover. Otherwise unatafuta ubaya
 
Tangazo ulishasikia na taa haziwaki si uzitoe sasa kama amri ya Kamanda Mpinga alivyoitoa.

Ukiendesha gari nite halafu ukapigwa Nazo usoni mkiwa mnapishana ndo utajua madhara yake.
Ushaambiwa haziwaki, sasa unaongea utumbo gani.., kwanza utakuwa huna gari unatupigia kelele tu
 
Back
Top Bottom