Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Mkuu naamini unatokea huku huku kwetu ambako elimu ni chimbuko lake kwa Tz. Hongera snKabisa mkuu hawakupata shida kabisa mkuu
Mkuu naamini unatokea huku huku kwetu ambako elimu ni chimbuko lake kwa Tz. Hongera snKabisa mkuu hawakupata shida kabisa mkuu
Tafadhali naomba hiyo act mkuuSiku utakapoijua haki yako ndipo utakapojua kudeal na hao unaoita vijana wadogo.
Wengi nimewasaidia kupata japo nakala ya traffic act imewasaidia.
Endelea kuchangia serikali hata kwa kosa ambalo silo la kuchangia serikali.
Asante mkuu nawe pia hongeraMkuu naamini unatokea huku huku kwetu ambako elimu ni chimbuko lake kwa Tz. Hongera sn
Well noted mkuuAsante mkuu nawe pia hongera
TOA KABISAAA VIJISABABU VYA NAMNA HII HATUTAKI HATA KUVISIKIA; UNAPENDEZESHA GARI SI UPAMBE MAUA KAMA NI HIVO? TOA KAMA VIPI TUTAKUPA KIFURUSHI TU HAKUNA NAMNAJana walinikamata kwa kosa hilo, nilichofanya leo nimeenda kwa fundi akazi-disconnect, hivyo hazifanyi tena kazi, je, bado ninavunja sheria kwa kutoziondoa japo hazifanyi tena kazi? Msaada tafadhali. (Sitaki kuziondoa maana zinapendezesha mno gari)
Kwa sasa naangalia AFCON baadaye nitakutumia
Rav 4, na gari nyingne nyingi tuu huwa zinakuja na FOG LIGHT (taa special kwa ajili ya maeneo yenye ukungu), ambazo hazitakiwi ni SPOT LIGHT. sasa hapa hadi hao waandika fain inabidi waelimishwe..RAV4 taa zake ni original siyo man made.
Ni kweli kabisa mkuuRav 4, na gari nyingne nyingi tuu huwa zinakuja na FOG LIGHT (taa special kwa ajili ya maeneo yenye ukungu), ambazo hazitakiwi ni SPOT LIGHT. sasa hapa hadi hao waandika fain inabidi waelimishwe..
maana ukimwambia mtu atoe fog light, maana yake utasababisha apate ajali akienda maeneo yenye ukungu, maana atakuwa haoni
Akipigwa nazo usoni atapasuka vibayaTangazo ulishasikia na taa haziwaki si uzitoe sasa kama amri ya Kamanda Mpinga alivyoitoa.
Ukiendesha gari nite halafu ukapigwa Nazo usoni mkiwa mnapishana ndo utajua madhara yake.
Kosa lako wewe ambaye matendo ya Kikwete yakaku aminisha kuwa Uislam ni dini safiSiyo kosa lako uwezo wako wa kiakili umeishia hapo.






Ambazo siyo man made?Rav 4, na gari nyingne nyingi tuu huwa zinakuja na FOG LIGHT (taa special kwa ajili ya maeneo yenye ukungu), ambazo hazitakiwi ni SPOT LIGHT. sasa hapa hadi hao waandika fain inabidi waelimishwe..
maana ukimwambia mtu atoe fog light, maana yake utasababisha apate ajali akienda maeneo yenye ukungu, maana atakuwa haoni
soma vzur post yangu kama kuna hayo maneno uliyoulizaAmbazo siyo man made?
Za Man Made zipoje?
Issue yangu hapo kama haziwaki ameziacha za nini na tunathibitisha vipi kama ni za ukungu?Ameeleza vizuri hapo juu taa zake ni za ukungu sasa wewe unadandia bila kusoma,kuna tofauti katika hizi taarifa,so alizopiga magufuli mpinga ni zile za mwanga mkali kama za kwenda mbugani kuwinda
Sina gari ni kweli ila kwa wewe mwenye gari spot lights zilizowekwa au zilizokuja na gari au hizo taa zako za kuwasha wakati wa ukungu huko ulaya na baadhi ya nchi za mabara mengine uzitoe kabisa na ukiwa Nazo utapigwa faini.Ushaambiwa haziwaki, sasa unaongea utumbo gani.., kwanza utakuwa huna gari unatupigia kelele tu
Nimekuuliza baada ya kuona ukiunga mkono andishi la bahatisoma vzur post yangu kama kuna hayo maneno uliyouliza
Mbeya,Arusha, Njombe, Moshi tutawafikiriamkuu mbeya miezi ya sita hata mita mbili huoni. mbuga ya kituro unapaki gari pembeni
Na hizi tairi zao nene zinahatarisha usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Barabara zetu ni finyu unafungaje tairi nene mpaka mkiwa kwenye foleni bodaboda wanakosa sehemu ya kupenya...Nchi ya matamko hii,Baada ya Taa mtaskia watu watoe Sports Rim maana hatari sana!
Na zile zisizokuwa na fog light tutapiga marufuku kutembelea maeneo ya ukungu.Rav 4, na gari nyingne nyingi tuu huwa zinakuja na FOG LIGHT (taa special kwa ajili ya maeneo yenye ukungu), ambazo hazitakiwi ni SPOT LIGHT. sasa hapa hadi hao waandika fain inabidi waelimishwe..
maana ukimwambia mtu atoe fog light, maana yake utasababisha apate ajali akienda maeneo yenye ukungu, maana atakuwa haoni