Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,042
- 134,325
- Thread starter
- #81
Kuna mtu anavuliwa nguo kwa kujipelekea mafungu jimboni
Ngoja silinde atoke hapo lazima moto uwake ili mbowe arudi
haah haah haelewekihuyu mwehu kaingia ndio mpuuzi kabisa ila sijui ccm wanamownaje kwamba ana akili...hivi CCM ndio imeamua kuwa na wawakili wa kigosi wa kijinga hivi..Shekifu
stay tuned..Ukawa ni fikra nyingine.Hawatkosa pa kutrip mfumo magamba yaanze nidhalilisha.Naona dalili mbaya hapa.roho mbaya sura mbaya
kwa hiyo???
Huu ni ushahidi kwamba CCM walituwekea uchafu kuanzia ktk mikoa hadi taifa....huu muda si Angepewa tuu mbowe....sasa anajibu kwanini Shiling imeshuka...haah haah haeleweki
stay tuned,Lissu anakuja soonstay tuned..Ukawa ni fikra nyingine.Hawatkosa pa kutrip mfumo magamba yaanze nidhalilisha.
Na hatawapa huruma.stay tuned,Lissu anakuja soon