Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Sasa jk anajidai kutoa ajira 2mil wakati ana 20+mil,wengine hawana kazi na wanaongezeka.
 
Ayaoutouuullaha anaangalia wenzie sasa roho imamuuma sana.Huwa ni mtu wa kupenda kuwa ktk matukio
 
hakuna chama chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani!!!
Lakini kuna wananchi wanaoweza wakishirikiana na UKAWA. In other words, Wananchi ndio watakaoitoa CCM madarakani na sio chama. Hilo kama hulifahamu basi JF sio mahali pako:msela:
 
Zito kwishaaaa,sasa tunaangalianae bunge kwenye Tv,na mambo yalivobana sijui hata kama ana Luku huyu,si ajabu anaangalia kupitia bar
 
Na sio muda mrefu kikwete pia atajiongezea. Weka hazina neno langu

Kwanza sio mbali hivyo mkuu,subiri kesho Nkurunziza anakuja utaona atakavyopigiwa mizinga na Ccm kuonyesha kumuunga mkono vitendo vyake viovu
 
Mbowe anatakiwa kujiandaa kisaikolojia kuendelea kuwa mpinzani na nchi haitawaka moto kamwe!
 
Hili bunge la mwisho tutashuhudia mengi sana spika sijui ana matatizo gani yanamsibu yana hasira balaa.
 
Zito kwishaaaa,sasa tunaangalianae bunge kwenye Tv,na mambo yalivobana sijui hata kama ana Luku huyu,si ajabu anaangalia kupitia bar
Anaweza kuwa na luku ila alipo roho inamuuma si unajua hajui ficha hisia na roho yake mbaya?Na akiwa lazima awe na wenzie au wana ccm ili aweze kupoteza muda na kubadili mikao huku akiwakosoa Wapinzani...otherwise lile lisura lake limezidi kuwa baya na kubadili mikao tuu.
 
Silinde kazungumza jambo la msingi sana kuhusu Telecommunication levy
 
Hili bunge la mwisho tutashuhudia mengi sana spika sijui ana matatizo gani yanamsibu yana hasira balaa.
wanwake wana tabia mbaya sana kuingiza hisia binafsi na viburi vyao ktk kazi na pengine issue sensitive km hizi....na huyu ni Gamba tena u can imagine...ndio maana wanawake siku zote watakuwa watumwa sana.
 
Mbowe anarudi baada ya Silinde.stay tuned
 
Mbowe anatakiwa kujiandaa kisaikolojia kuendelea kuwa mpinzani na nchi haitawaka moto kamwe!
Msikilize halafu upime km ni yeye wa kujiandaa au ni maccm..pia uone keshajiandaa kisaikologia kuyapeleka magamba polisi..
 
Mbowe anarudi baada ya Silinde.stay tuned
Aje kamanda wa Anga...uwepo wake tuu Ayaoutoullah hadi uti wa mgongo unapata baridi...wanompenda,wanaomchukia na wasiojua hisia zao..wote wanapenda msikia,mwona na jua anafanya nini?anafikiri nini na atawakilisha nini?
 
Back
Top Bottom