Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,042
- 134,325
- Thread starter
- #141
Haaah haah UKAWA ndo mpango mzima
Ila huyu Pauline Gekul ni mcute balaa.
Napenda awepo mjengoni next term
Kamanda wetu anatema cheche.anasema makamanda tuchukue hotuba ya KUB ipo kila kona
Mpuuzi kweli ulitaka aachwe?Ili nini ili mseme hana mvuto?Wewe kila mwanamke unamwonea wivu...ungechelewa zaliwa si ajabu ungemwonea wivu hadi mzazi wako.Toto la kimbulu hilo, liko bomba balaa, sijui kama pale Ufipa wamemuacha maana wale jamaa ni hatari sana
hakuna chama chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani!!!
Ni mdogo wako wa kike mkuu utakuwa umenisaidia sana kwakweli.km imebidi umwabudu mzungu ktk photoshop ili kumvalisha Nyerere miguo ya CCM..sasa nikusaidiaje?
Mkuu utakuwa umevurugwa na wenzako kitambo halafu unawasingizia wabunge wa ccm wakati hawahusiki na kuchanganyikiwa kwako.hawa wabunge wa ccm wananichanganya sana kwanza wanaunga mkono alafu wanalalamiiikaaa alafu wanaunga tena kwa asilimia100% na kila mtu lazima aseme tatizo la maji (TANZANIA NCHI YANGU)