Mbowe akisikia unamwita kenge utahama bavicha usiku wa manane.Huyu Kenge anishukuru CCM au REA?CCM waliibia REA hela.
Anaanza kwa kuwashukuru watanzania na wanaukawa.Anawataka CCM ijiandae kisaikojia baada ya kushindwa kuongoza.Anaanza kuzungumzia BVR.Anazungumza changamoto zake.Anamvua nguo rais kwamba alitangaza vitambulisho vya utaifa kuwa vitatumika kupigia kura ajabu havijulikani vilifikia wapi. Anaonesha viashiria vya JK kujiongezea mda. Anaonyesha udhaifu wa wataalam wa uandikishaji.Tume haijasema itafanya usajili mpaka lini.Mkandarasi anadai hela yake.Tume ilipatiwa mashine pungufu na imepunguza siku za kuandisha na watu wengine hawajajiandikisha.Kama kuna jambo linaweza kuwasha moto nchi ni serikali kujiongozea mda.Anarejea ushauri wa upinzani kuhusu kura ya maoni,ambapo walikejeliwa na mambo yamewashinda
Mkuu utakuwa umevurugwa na wenzako kitambo halafu unawasingizia wabunge wa ccm wakati hawahusiki na kuchanganyikiwa kwako.
wengine hawajui kutumia compyuta
Mbowe katingisha kuta za lumumba
Haraka ya nini hata kama unalipwa na Mbowe kila post mpaka unatukana kwenye kuandika au upo viroba.
kwa hiyo???