Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

CCM wanajiandaa kupora ushindi Oct!!" Walio madarakani ndio mara zote wanaleta vita kwa kung'ang'ania madaraka!!
 
Duh!! kwa hicho ndicho kilichompeleka bungeni? Then atawaambia hao CCM kupinga budget? Tuna safari ndefu

Ni tofauti za uelewa tu. Mmezoea kusifiwa kama marehemu
 
Mbowe na Nkuruzinza wanatofauti gani wote wamejiongezea muda wa uongozi wamebadili katiba zao.
Nkuruzinza ni sawa na Ayaoutoouuulah..na Sasa dhaifu kapat inspiration.
 
mama kaanza kichaa kaumia vidonge..Mama kapanic kwa wendawazimu.
Sijawahi ona kichaa kimemshika kabisa hasira kede kede yaani kamkatisha kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani kakunja uso huku anatwete kama nini
 
Wamembania Mbowe ameingia sasa Kamanda Paulina,naye anatema cheche
 
Sijawahi ona kichaa kimemshika kabisa hasira kede kede yaani kamkatisha kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani kakunja uso huku anatwete kama nini
Anamwambia Tundu Lisu wewe ndie unayemruhusu..Ndio shida za wanawake hata ktk maofisi..wanaweza hisia kila mahali, ndio maana hawatakaa wawe huru mbele ya wanaume.
 
Mbowe na Nkuruzinza wanatofauti gani wote wamejiongezea muda wa uongozi wamebadili katiba zao.

Na sio muda mrefu kikwete pia atajiongezea. Weka hazina neno langu
 
Back
Top Bottom