Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,043
- 134,324
- Thread starter
- #101
Ukiwa CCM tabu,unakosa mashiko.unapongeza dakika 2 unaonyesha kule jimboni ni tabu tupu
Naisoma kwa umakini ..Hutoba ya kiongozi wa upinzani bungeni yote imewekwa tayari humu jf
huyoooo anaishika cmc ta.kolisu huyooooooooo
Mbowe anatakiwa kujiandaa kisaikolojia kuendelea kuwa mpinzani na nchi haitawaka moto kamwe!
Hili bunge la mwisho tutashuhudia mengi sana spika sijui ana matatizo gani yanamsibu yana hasira balaa.