Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Kamanda Mbowe anaunguruma now Bungeni

Haaah haah spika noma.Sasa kinachofuata hapa CCM ni kumjibu Lissu
 
Aje kamanda wa Anga...uwepo wake tuu Ayaoutoullah hadi uti wa mgongo unapata baridi...wanompenda,wanaomchukia na wasiojua hisia zao..wote wanapenda msikia,mwona na jua anafanya nini?anafikiri nini na atawakilisha nini?

Kamanda wa Anga au kamanda wa Wanga?
 
hivi hawa ccm wanavyojidai ha hiyo amani ni wao ndio wameileta....Anasema wengine wanashibisha matumbo yao,sijui wao wanashibisha nini?
 
naona mbunge mchovu anasifia ujenzi wa udom hajui pesa ya wafanyakazi serikali imekopa kwenye mifuko ya jamii na haijalipa deni
 
Huyu changu kasifia maji,umeme na barabara..sasa anarudi kuomba hayo hayo..
 
Wamepaniki, unajua dongo moja la lissu ni kubomoa kambi mia za ccm, lakn matusi ya CCM kumi yanaing'arisha CDM
 
Kamanda wetu anatema cheche.anasema makamanda tuchukue hotuba ya KUB ipo kila kona
 
Arumeru ni rushwa ya vimemo vya ccm...ndio wakajikuta walimu wamejaa sehemu moja..ni yaleyale ya walimu kukimbia mikoa ya kina Ayoutoullah.
 
Back
Top Bottom