OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Ndiyo wakuu! Kamanda Mawazo diwani wa zamani wa kata Sombetini,Arusha aliye hamia Cdm, leo hii ame anza kufanya Reconnaisance survey katika kata ya Lwezera,wilaya ya Geita baada ya kuombwa na Uongozi wa Cdm Taifa kuongeza nguvu . Kwa mujibu wa maelezo yake leo, ni kuwa ame amua kukubaliana na uamzi huo baada ya kufanya kazi kubwa jimboni Busanda ambapo ameweza kufanya mikutano 48 na kuvuna jumla ya wanachama elfu 1 . Ki ukweli ni kuwa Mawazo ni very influencial and prominent figure kwa sababu ni mtu ambaye anatokea maeneo ya sengerema karibu na geita. Pia Kamanda mawazo anaweza sana kuongea lugha ya Kisukuma ambayo ndiyo lugha kuu kwenye kata hiyo ya Lwezera. Nitaendelea kuwajulisha kila kinacho jili katika kampeini za uchaguzi wa diwani u naotarajiwa kuanza next wiki ktk kata hii. Uchaguzi huu unavuta hisia za watu wengi kwasabu tayari maeneo mengi yanayo zunguka kata hii wananchi wamefanya mabadiliko ambapo cdm wanaongoza kata na vijiji vingi. Naomba kuwasilisha.