Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Wew lema acha siasa za kujipa umaharufu kupitia vifo nakumbuka ulijipatia umaharufu kupitia genge la wahuni arusha ukijifanya ni mtetea haki acha porojo na funga mdomo wako na kuvunjwa mguu uvunjwi ila utakiona cha moto kwenye sanduku la kura ngombe kwel ww afu kama huna cha kutuambia cha maana kapumzike njiro na mke wako na ukifa akuna mtu atake changia watoto wako mshenz weww
By moshi vijijini
Huyu jamaa mi kiasi fulani namkubali, yuko 'SMART' fulani hivi! Ana kipawa cha kucheza na akili za nyumbu, anawakusanyaaaaaa kisha wenyewe wanajipeleka mtoni kuvuka, yeye anakaa kando akicheki mamba wakiinjoi zawadi ya krismas alafu yale mapaja paja yanayobaki, kitoweo kwake!
 
Asante kamanda Lema huu ndiyo uhalisia maana viongozi wanataka kuona maiti zikielea kwenye dimbwi la damu wakati wao wakiwa angani.
Damu hii haitamwagika bure.
 
Hivi Godbless Lema unapokuwa unaandika huwa unakuwa umelewa, umevuta bangi au huwa unakuwa ndotoni?

Mlipomuua Chacha Wangwe mlisingizia Ccm na Polisi. Leo mmemuua Mawazo unakurupuka tena na kulihusisha Jeshi la Polisi. Cha kushangaza hutoi sababu za kwanini polisi wanahusika zaidi kupiga porojo.

Ni polisi hawa hawa ambao mnawadhihaki kila kukicha na ambao wamewalinda kwenye mikutano yenu yote ya kampeni lakini leo mnawazushia uongo wa wazi kabisa.

Hivi kifo cha Mawazo kina uhusiano gani na kununuliwa kwa magari ya Polisi? Au unataka kutuaminisha kuwa magari hayo ndio yaliyomuua?

Lema mkeo ni mtu makini sana na ana busara na hekima ya hali ya juu hebu uwe unamuomba ushauri wakati fulani kabla hujaandika mambo haya. Kwake naamini ni fedheha kubwa sana. Badilika kaka.

sijui kama atakuelewa ! ...........jana Laigwanani sina uhakika kama alikuwa mkutanoni
 
wanaandika kutetea uhalifu kwa kwamanda sana Alphonce mawazo kuwa green guard na police wamehusika hawana utu naomba watuache wenye majonzi tupate ukweli.

Pole kamanda lema
 
Waliofanya tuko hili wakamatwe Mara moja na sheria ichukue mkondo wake,
Kwani hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake.

Police fanyeni kazi yenu kwa weredi wenu na kwa kutumia intelijensia yenu kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo.
Ili kuondoa mtazamo hasi juu ya jeshi letu lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao.

Siasa hizi za mauaji zikomeshwe Mara moja kuendelea kuzifumbua macho ni kulitumbukiza taifa letu kwenye machafuko.
Wananchi wote tuwe watulivu wakati jeshi la police likifanya kazi yake.

Jeshi lipi hapa tuna jeshi la ccm tu.
Ikiwa tumeripoti matukio mengi ambayo CCM inafanya rafu bado tukamatwa kwa kuripoti ukweli hapo kuna Police?
Tuchukue hatua wenyewe tu ya kujilinda.
 
Inauma inauma na vyombo vya usalama vitatuletea usanii kwa kuwa vifo kana vya mawazo ni vya kupangwa na kutegewa. Kama Mungu yupo damu ya mawazo itaendelea kuongea. Itawatafuna wahusika wote.
 
Ushahidi wa uongo sio mzur,uko dar huko umejifichavnyuma ya keybord unajiandikia tu unachohisi then anatoa ushuhuda,acheni siasa huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine

Tz hatuna sheria ya kuuwa hapo kwa hapo, tuambie wewe unayesema mawazo kafanya uhalifu km uhalifu mwngn, kafanya nn akastahili kuuwawa hapo hapo? Tuambie umma tujue.
 
Inasikitisha sana pale wanao hubiri amani ndio wa kwanza kuivunja amani..hii nchi imekuwa ya watu fulani tu......
Chadema ndiyo mmehusika kumuua mwenzenu. Ngoja tusubiri uchunguzi.
 
Huyu jamaa mi kiasi fulani namkubali, yuko 'SMART' fulani hivi! Ana kipawa cha kucheza na akili za nyumbu, anawakusanyaaaaaa kisha wenyewe wanajipeleka mtoni kuvuka, yeye anakaa kando akicheki mamba wakiinjoi zawadi ya krismas alafu yale mapaja paja yanayobaki, kitoweo kwake!

Tactic is ability to tell 'nyumbus' that you can go to Hell and they pack and be prepared for the trip !
 
Tactic is ability to tell 'nyumbus' that you can go to Hell and they pack and be prepared for the trip !

Mtadharau na kua watu ...ila mjue njia nimoja na nyie mtakufa tu.....
 
Excerpts from an interview with a Jewish leader about blacks.👂👂.
INTERVIEWER: Why are blacks so behind economically?
JEWISH LEADER: The only aspect blacks understand is consumption. Black don't understand the importance of building wealth. The fundamental rule is to keep your money within your racial group. We build Jewish business, hire Jewish, buy Jewish and spend Jewish. There is nothing wrong with that but it is a basic rule blacks cannot comprehend and follow. He kills his fellow black daily instead of wanting to see his fellow black do well. 93% of blacks killed in America are by other blacks.
Their leader steal from their people and send the money back to their colonial masters from who they borrowed the same money from. Even successful black want to spend his money in the country of his colonial master. They go on holiday abroad, buy houses abroad, school abroad etc instead of spending tjis money in their own country to benefit their people. Statistics shows that the Jew's money exchanges hands 18 times before leaving his community while for blacks it is probably a maximum of once or even zero. Only 6% of black money goes back to their community. Instead of buying Louis Vuitton, Hermes, expensive cars, shoes, houses, dresses etc black could industrialize Africa, build banks and get rid of colonial institutions by putting them out of business.
INTERVIEWER: So what can bkacks do to liberate themselves?
JEWISH LEADER: Black must take responsibility, blacks must unite and vehemently fight for corrupt leaders who run down their country to run to IMF as though IMF is father Christmas.
Toa upuuzi huu watu tuna majonzi
 
Pamoja na kwamba nimesikitishwa na kifo cha kikatili cha ndugu Mawazo lakini sikubaliani na hii tabia ya kupeana tuhuma. Wananchi wengi tunahisi huenda kifo cha mawazo kimesababishwa na mgogoro wa dhulma humo humo ndani ya CHADEMA; Wengine wanasema huenda ni migogoro binafsi kati yake na jamaa zake. CHADEMA mnasema kifo chake kimepelekewa na green guard kumvamia marehemu na wengine mnasema polisi ndio wamemuua. Sasa tushike lipi!?

Aidha, mbona kifo cha Chacha Wangwe hatukuona watu kuguswa hivi!? Wakati kilijaa giza zito na hadi leo haieleweki nini kimemuua Chacha Wangwe. Ndugu Lema kama unajua kuhusu Wangwe tugusie kidogo. Huenda ikatoa mwanga wa kujua kuhusu kifo cha Mawazo. Natazama kwa jicho la tatu tu.

RIP Mawazo

Kawaulize Police nani alimuuwa Wangwe. Sisi tunasema ni CCM ikishirikiana na Police ndiyo maana hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.
Mwangosi aliuwawa Mbele ya Kamuhanda na akapandishwa cheo kwa kazi nzuri ya mauaji.
 
Matamko yako mengi sana lkn nchi hii wapinzan watamwaga dam sana ila wajitahidi kutoa matamko ya kielimu,kiraia ili sanduku la kura liwawajibishe watawala. Naamini baada ya magufuli wapinzani ndani ya miaka kumi kupita wanaiangusha ccm, matamko yatapoteza ladha ya ccm kukabidhi nchi tuwe wavumilivu.

Kwanza samahani kwa kukutukana ,ulivyojibu nilichikulia ni kejeli wakati ndugu yangu ni muhanga wa mauaji ya soweto,
Kuna mambo yanahitaji subira na pia kuna mambo yanahitaji real time response hasa haya mambo yanayohusu haki na amani yetu

Sanduku la kura liwawajibishe watawala ?? Mkuu uchaguzi wa mwaka huu haujaufuatilia nini ????
 
Back
Top Bottom