MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,231
- 3,946
hebu jamani tungoje taarifa ya polisi tusianze kulaumu huyu wala yule
Polisi au Policcm? Hivi polisi wakija wakasema aliuawa na mkewe tutakubali!? Sidhani kama kuna ukweli zaidi ya walioshuhudia!
hebu jamani tungoje taarifa ya polisi tusianze kulaumu huyu wala yule
Ikiwa kwa akili dhaifu kama hizi mnapewa vyeo basi ni hatari sana ! Bali nakuomba utambue kwamba " what goes around comes around "Nina kila sababu ya kuamini kuwa waliotekeleza tukio hili ni CHADEMA wenyewe. Kwanza wanasema kuwa Alphonce alikuwa na mkutano wa ndani kata ya Katele kuwaapisha mawakala. Wakiwa kwenye mkutano, walipata taarifa kuwa mkutano wao ulikuwa unarekodiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wana CCM ambao walikuwa nje ya ukumbi huo. Walipotoka nje ndipo kundi la wana CCM walipowavamia na kuwajeruhi baadhi ya wafuasi wa CHADEMA. Cha kushangaza eti Alphonce Mawazo amekutwa umbali wa nusu kilometa kutoka eneo la mkutano na eti wenyewe wanashangaa aliondokaje kwenye eneo hilo na alivamiwa na watu eti asipate msaada wowote.
Lema naye anakuja na figisu zake eti wahusika si CCM bali ni polisi. Cha kushangaza kwenye andiko hilo haelezi moja kwa moja jinsi polisi walivyohusika bali anasema eti wanawakumbatia wahalifu. Huu ni uhuni wa hali ya juu sana
Lema ni shujaa .Mwachen Lema asema. Juzi kwenye uzinduzi wa kampen Zake alisema RPC wa Arusha aliwaambia bodaboda wakimvunja mguu Lema, awawezi kukaa Polis zaidi ya Nusu saa.
na RPC alirekodiwa
Nilichokifanya ni kuonesha jinsi mnavyoandaa uongo na mnashindwa kuutetea. Hamna akili ya pamoja ndo maana Lema anabwabwaja huku na wengine wakibwabwaja. Inasikitisha kuona Mawazo anauawa mbele ya Makada wenzake wa CHADEMA na wasichukue hatua ya ama kuwapiga picha hao wauaji. Hii ni fedheha kubwa kwenu na hakika dhambi hii ya unafiki itawatafuna sanaIkiwa kwa akili dhaifu kama hizi mnapewa vyeo basi ni hatari sana ! Bali nakuomba utambue kwamba " what goes around comes around "
Lema hawezi kuaminika kamwe. Anafanya siasa za ulaghai.Mwachen Lema asema. Juzi kwenye uzinduzi wa kampen Zake alisema RPC wa Arusha aliwaambia bodaboda wakimvunja mguu Lema, awawezi kukaa Polis zaidi ya Nusu saa.
na RPC alirekodiwa
Ushahidi wa uongo sio mzur,uko dar huko umejifichavnyuma ya keybord unajiandikia tu unachohisi then anatoa ushuhuda,acheni siasa huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine
Pata lipuka Arusha
Bado unawasikiliza hao jamaa?
Haikulipuka Mwanza na Musoma, ijekuwa Arusha !
Tuliokuwepo Arusha soweto tuliwambia alierusha rusha bomu alilindwa na polisi kwa bunduki kwa macho tulimwona hamkutuamini. Subirini siku ya kuamini.
Mbona haujamtaja sasa toka nyuma ya keyboard umtaje vinginevyo na wewe utakuwa ulihusika kwenye mauaji hayo!!!
Miafrika ndivyo mlivyo hamjui hata thamani ya uhai wa wenzenu! ! Kweli mnafanana sokwe! ....
Najua mawazo yako ya ki-ccm jaribuni kuiba alafu mtajua mbona mbeya mmeshindwa kuiba
Nenda Kamanda Umefia Vitani, Umetangulia Sisi Tunafuata
Jamani Mbona hakuna anayeeleza kisa cha yeye kuvamiwa? Yeye kama mwananchi anaweza tenda kosa kwahiyo msikimbilie kwenye nafasi yake bila kueleza mkasa mzima.