OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hiyo ndiyo mizigo kama wewe, temana nayo rudi kwa topic.
Kwanini mmeamua hivi au mnakula nyama za watu ktk awamu hii ya 5?
Usamehewe bure duniani na kesho akhera. . . .
Hiyo ndiyo mizigo kama wewe, temana nayo rudi kwa topic.
Kwanini mmeamua hivi au mnakula nyama za watu ktk awamu hii ya 5?
Naona unarudi kwenye sense ,sasa kumbe niliposema viongozi wa ukawa watoe tamko kieleweke ,hukuelewa nini ??
hebu jamani tungoje taarifa ya polisi tusianze kulaumu huyu wala yule
Lema hana akili ya kuelewa hayo unayo andika ! mark my words !
unaongea vitu gani? Hujasikia wananchi waliwakamata watu wakawapeleka Polisi huko wakaachiwa ndani y nusu saaWaliofanya tuko hili wakamatwe Mara moja na sheria ichukue mkondo wake,
Kwani hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake.
Police fanyeni kazi yenu kwa weredi wenu na kwa kutumia intelijensia yenu kuwanasa wote waliohusika na tukio hilo.
Ili kuondoa mtazamo hasi juu ya jeshi letu lenye dhamana ya ulinzi wa raia na mali zao.
Siasa hizi za mauaji zikomeshwe Mara moja kuendelea kuzifumbua macho ni kulitumbukiza taifa letu kwenye machafuko.
Wananchi wote tuwe watulivu wakati jeshi la police likifanya kazi yake.
Binafsi nimechukia sana..nina chuki na polisi,nina chuki na mabolizi wa ccm nina chuki na vijana wa ccm..kunj siku nitaua mmoja kati ya hao
hebu jamani tungoje taarifa ya polisi tusianze kulaumu huyu wala yule
Nikweli kamanda[/QUO
Nchi hii anayeweza kutetea haki mpaka hata tone la mwisho la damu wamebaki akina Gidbless Lema na akina Duni Haji! Hawa watu wako real toka ndani ya mioyo yao! Ni watu wanaoweza kutia chachu ya mabadiliko isiyoweza kugeuzwa tena! Lema kaijengea ujasiri Arusha ambao kwa asilumia 100 umetokana na utaxari wake wa kuwa mstari wa mbele bila kuwatanguliza wengine! Akina Duni Haji wameijenga CUF huko visiwani kwa sababu yaujasiri wao wa kukaa mbele badala ya kuwatanguliza wengine!
Mabadiliko ya kudai haki yanahitaji watu waliojikana maisha yao kwa ajili ya wengine! Wako tayari hata akiwa peke yake bila kujali wengine mko wapi!
Kamanda Mawazo alikuwa ni mwanafunzi wa Lema ndo maana alikuwa tofauti na alikuwa akirnrza chachu ya Lema kule janda ya Ziwa!
Upinzani unawahitaji sana watu kama akina Lema kuliko watu wastaraabu maana ustaraabu katika mazingira ya siasa za kwetu itachukua miaka mingi kufikia mabadiliko!
Tumeirekodi hii !
anaye amin kuwa mawazo kauwawa na ccm anajiliwaza buree.....waliomuondoa ni polisi hakika...
lema kasema ukweli
Hii nchi inaongozwa kikichaa, ni sawa tu kama wote tukijitoa akili.
Nikweli kamanda[/QUO
Nchi hii anayeweza kutetea haki mpaka hata tone la mwisho la damu wamebaki akina Gidbless Lema na akina Duni Haji! Hawa watu wako real toka ndani ya mioyo yao! Ni watu wanaoweza kutia chachu ya mabadiliko isiyoweza kugeuzwa tena! Lema kaijengea ujasiri Arusha ambao kwa asilimia 100 umetokana na ujasiri wake wa kuwa mstari wa mbele bila kuwatanguliza wengine! Akina Duni Haji wameijenga CUF huko visiwani kwa sababu yaujasiri wao wa kukaa mbele badala ya kuwatanguliza wengine!
Harakati za kudai haki zinahitaji watu waliojikana maisha yao kwa ajili ya wengine! Wako tayari hata akiwa peke yake kupambana bila kujali wengine mko wapi!
Tumemwona Nasari pia akichukua misimamo ya Lema na amekuwa na mafanikio makubwa na kuungwa mkono na wengi!
Kamanda Mawazo alikuwa ni mwanafunzi wa Lema ndo maana alikuwa tofauti na alikuwa akieneza chachu ya Lema kule kanda ya Ziwa!
Wapinzani wenye misimamo kama ya Lema ndiyi huleta impact kwenye siasa za upinzani!
Upinzani unawahitaji sana watu kama akina Lema kuliko watu wastaraabu maana ustaraabu katika mazingira ya siasa za kwetu itachukua miaka mingi kufikia mabadiliko!
unaongea vitu gani? Hujasikia wananchi waliwakamata watu wakawapeleka Polisi huko wakaachiwa ndani y nusu saa