Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

Mimi naumia sana tena na maumivu yangu yamepitiliza sijui ninachokifanya, moyo wangu una ganzi kubwa sana kuhusu Alfonce Mawazo nilimpenda nilimuishi katika matendo yake na mawazo yake ya ukombozi ni moja ya wanasiasa niliyojifunza ujasiri kutoka kwake na kuona ni miongoni mwao. Sasa kaniacha ametuacha Mawazo utaishi kati fikira zangu. NINAYO MAWAZO YA UKOMBOZI.
 
Excerpts from an interview with a Jewish leader about blacks.

INTERVIEWER: Why are blacks so behind economically?

JEWISH LEADER: The only aspect blacks understand is consumption. Black don't understand the importance of building wealth. The fundamental rule is to keep your money within your racial group. We build Jewish business, hire Jewish, buy Jewish and spend Jewish. There is nothing wrong with that but it is a basic rule blacks cannot comprehend and follow. He kills his fellow black daily instead of wanting to see his fellow black do well. 93% of blacks killed in America are by other blacks.

Their leader steal from their people and send the money back to their colonial masters from who they borrowed the same money from. Even successful black want to spend his money in the country of his colonial master. They go on holiday abroad, buy houses abroad, school abroad etc instead of spending tjis money in their own country to benefit their people. Statistics shows that the Jew's money exchanges hands 18 times before leaving his community while for blacks it is probably a maximum of once or even zero.

Only 6% of black money goes back to their community. Instead of buying Louis Vuitton, Hermes, expensive cars, shoes, houses, dresses etc black could industrialize Africa, build banks and get rid of colonial institutions by putting them out of business.

INTERVIEWER: So what can bkacks do to liberate themselves?

JEWISH LEADER: Black must take responsibility, blacks must unite and vehemently fight for corrupt leaders who run down their country to run to IMF as though IMF is father Christmas.
 
kwa kweli siamini kinachotokea tanzania hivi amani inayosifiwa tanzania iko wapi kwa nini kuuwawa viongozi wa chadema tu yako wapi magari mia 700 ya polisi yalikuja kuongeza usalama au yalikuja kulinda utawala napata shida sana kila nikitatakari haya mambo nakwazika sana na roho inauma sana maneno ya godbless lema ni ya kuyatafakari sana RIP ALPHONCE MAWAZO damu yako haitamwagika hivi hivi watesi wako mungu atawahukumu
 
Lema sio mchochezi, anaongea ukweli, ila nadhani kwenye kipindi hiki anatakiwa kuwa careful kwasababu some of his words may need justification, na uchaguzi wake bado

Mauaji ya Mawazo ni choreographed

Lema ni mchochezi na mchonganishi wa hali ya juu ! ungemsikia katika mahojiano ya Redio wakati wa bomu la Kanisani kule Olasiti ndio ngenielewa, pia nimewahi kumshuhudia akiwachonganisha wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu na Mkuu wa Mkoa, yeye akakimbia ! Lema kuwa Mbunge wa Arusha ni hasara. Hakuna RC wala RPC ambaye anaweza kukaa nae meza moja wakamuelewa. Safari hii hata akina Nasari wamemuhepa kwa aina ya siasa zake.
 
Honestly huu uzi umenitoa machozi. Godbless J Lema umeandika kwa uchungu sana,umenikumbusha mengi na hasa haki yetu iliyoporwa kimabavu.
Nimetazama wino ambao bado upo kwenye kidole changu tokea October 25 nikashikwa na hasira sana.
Yote haya yana mwisho.....
R.I.P kamanda Mawazo.

Kajingaa..ulikua na haki ipi iliyoporwa? Matukio mengi ni inside Job,mtamalizana.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Mbona hakuna anayeeleza kisa cha yeye kuvamiwa? Yeye kama mwananchi anaweza tenda kosa kwahiyo msikimbilie kwenye nafasi yake bila kueleza mkasa mzima.

Unatafuta kuhalalisha unyama aliofanyiwa Mawazo? Alitukana watu? Aliiba ng'ombe? Alitoa rushwa? Hakuna kinachoweza kuhalalisha unyama aliofanyiwa Mawazo, hata kama na yeye alituhumiwa kuua mtu/watu. Kama kuna kosa alitenda alipaswa kukamatwa na kushtakiwa. Ni uhalifu umefanyika na wahusika wakamatwe mara moja. Watu wanaumia zaidi kwa kuwa mauaji kama haya police wetu huyapuuza na hivyo huyahalalisha kwa makusudi. Kama huniamini, subiri uone kama kuna chochote cha maana police watafanya kuhusiana na tukio hilo (Linganisha na reaction ya police wakati Deo ameanguka na helkopta huko Selous).
 
Kutokea kifo cha Mwangosi,Chacha wangwe, Dr Mvungi ,mauaji soweto na wao wakisema wana mkanda mzima jinsi polisi walivyohusika lakini mpaka sasa hakuna walilolifanya na hiki kifo cha Alphonce pia ni polisi hao hao wanahusishwa ,ni busara ipi unayo iongelea ?????

Matukio mengi ni inside Job, watoe mkanda waone itavyokula kwao
 
pumzika kwa amani mawazo .mawazo yako .falsafa zako hazitapotea bure umeondoka kipindi ukihitajika kuasha fikra zilizo ganda nakufananisha na kina chris hani ,wakati wanapambana na utawala wa makaburu kule south africa walipita kwenye njia za miba ngumu mwisho wa siku ukombozi ulipatikana
 
kwa watu waliosoma physics watajua ni law of motion by Isaac Newton.
Natoa pole kwa watanzania wote waliopatwa na majanga na mabalaa adi kupoteza maisha.
hoja yangu:::
mh Lema ndio alikuwa role model wa kamanda mawazo. Lema kwa kauli zake anajenga uadui wa kutisha ili apate cheap popularity. ametoa madai mazito kuwa polisi Arusha walitaka kumuua. haingii akilini polisi wapo kisheria kulinda amani na usalama wa RAIA.
sasa kauli hizi za Lema za chuki,vitisho,kebehi,dharau,jeuri kwa jeshi la polisi anajua impact yake? mfano Lema akavamiwa na majambazi hatuombei asilani, je kwa kauli hizi kuna askari atakae kimbilia eneo la tukio kusaidia?
conclusion
EVERY ACTION HAS EQUAL AND OPPOSITE REACTION. LEMA ACHA SIFA ZA KIJINGA KWA KAULI ZAKO IT WIL COST U ONE DAY! MARK MY WORD.
 
Afande mkoa wa Geita:

Kuna tukio la mauaji KTR/IR/1186/2015, lililotokea leo tarehe 14/11/2015 baada ya ALPHONCE S/O MAWAZO, miaka 39, msukuma, mkulima mkazi wa Geita na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita pia katika uchaguzi mkuu uliopita alikuwa mgombea ubunge jimbo la Busanda, alishambuliwa kwa silaha za jadi na watu wanaosadikiwa kuwa zaidi ya kumi kati yao mmoja ametambuliwa kwa jina moja la MABEGA, wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM.

Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa CHADEMA walikuwa na mkutano wao wa ndani katika mtaa wa Ludete A kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro na CCM pia walikuwa na mkutano na ndani katika ofisi ya CCM, mtaa wa Njiapanda kata ya Ludete, vyama vyote viwili vilikuwa vinaandaa na kuwaapisha mawakala wao kwa ajili ya uchaguzi wa diwani ambao utafanyika kesho tarehe 15/11/2015 katika kata ya Ludete.

Wakati mkutano wa chadema ukiendelea majira ya 12:35 hrs mwanachama mmoja wa CHADEMA alitoa taarifa kuwa nje ya ukumbi kuna watu wanaosadikiwa kuwa wanachama CCM wanarekodi mkutano wao. Baada ya taarifa hiyo wajumbe wote walitoka nje ya ukumbi wakakutana na kundi la hilo nje ya ukumbi.

Watu hao waliwashambulia kwa silaha butu 1. ELIZABERT D/O PASCHAL, miaka 43, msukuma, mkulima wa Katoro ameumia kisogoni 2. BAHATI S/O MICHAEL, miaka 38, mzinza, mkulima mkazi wa Katoro, amejeruhiwa kichwani. Wametibiwa kituo cha afya Katoro, wameruhusiwa na hali zao zinaendelea vizuri. Kutokana tukio hilo wajumbe wote wa CHADEMA walitawanyika.

Marehemu alitoweka katika eneo hilo katika mazingira ambayo hata wenzake wameshindwa kuyaelezea. Muda mfupi alionekana akipigwa katika umbali unaokadiliwa kuwa nusu kilometa kutoka ukumbi ulipokuwa unafanyika mkutano wao na watu kumi walioshuka kwenye gari aina ya Land Cruiser ambayo namba zake bado hazijafahamika. Baada ya tukio hilo gari hilo lilielekea barabara ya Geita mjini.

Majeruhi alifariki majira ya saa16:00 hrs wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya Geita.

Upelelezi wenye kuambatana na msako mkali unaemdelea kuwatafuta watuhumiwa.
 
Matukio mengi ni inside Job, watoe mkanda waone itavyokula kwao

Hilo la inside job mimi silijui mkuu ,Tumechoka kuona damu za ndugu zetu zikipotea bila hatia,mathalani mauaji ya soweto nimempoteza ndugu yangu
Halafu viongozi wa chadema wanaishia kulia lia kwenye vyombo vya habari na social media ,au mpaka waanze kuuwawa hao viongozi wa juu wa chadema ndio mtalichukulia swala hili kwa uzito unaostahili ???
 
Lema nadhani hapa umefanya makosa makubwa sana. Umeingilia kazi ya jeshi la polisi bila kujijua. Sasa hivi polisi wapo kwwnye upelelezi wa nini kimefanyika wewe unakurupuka na kutupa lawama kwa polisi. Hivi una akili gani? Na je ikitokea polisi findings zao ziwe in favor of chadema utasemaje. Utafuta maneno yako au.

Usiwe mjinga tumia busara walau kidogo. Maneno ya kuropoka ropoka haya hayafai. Muwe mnasubiri msemaji wa chama azungumze na sio nyinyi kujivika usemaji na kutoa matamko ya hovyohovyo. Mwenyekiti wako tu hajazungumza. Kiongozi wa ukawa hajazungumza. Wewe unazungumza kama nani? ??
 
Tunapoelekea sipo tutembee na bastola kwenye biblia miskitini ifike mahali tuwe huru
 
Inauma sana, Mungu atusamehe sisi wanadamu kwa maovu makubwa na ya kutisha tunayofanya..
Ukiangalia zile picha za Mawazo akiwa kichakani kweli sisi binadamu ni wanyama
 
Back
Top Bottom