M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,037
mkuu Lema, kwanza pole sana kwa msiba huu mzito.
but nataka kufanya rejea kidogo...hivi yale mauaji ya Soweto Arusha, mhabarishaji Mwangosi, nk, nk... yameishia wapi?
maana kama hakuna kilichofanyika kwa hayo ya nyuma, ni kipi kipya tukitegemee kwa hili la kamanda Mawazo?
nawaza kwa sauti tu...