mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Acha kulubuni watu,!! Mimi nilikuepo kwenye mkutano na nimetokea itigi(manyoni magharibi) kumsikiliza rais wetu na hakuna mic iliyododoka bali mwisho wa kuhutubia alipewa mic akaikataa na wala si kudondosha,acheni kupotosha kimsingi watu tumejitokeza kwa wingi na manyoni awamu hii ni ya upinzani hakuna namna.
Upinzani upi wewe Manyoni majimbo yote ni ya CCM wala hakuna upinzani wa kusumbua. Manyoni magharibi Lupaa alikua ana nafasi ya kushinda kama angepitishwa Lwanji na kwa kweli mwaka 2010 alishinda ila walimchakachua na yeye pia aliuza ushindi ila mwaka huu mtu anayegombea naye hamuwezi hata kidogo.
Pili kwa taarifa yako huyo Lupaa ni mtu wa System nyie hamjui tu, mwaka 2010 kwa upande wa urais alikuwa anampigia kampeni Rais kikwete na ndo maana baada ya kushindwa ameteuliwa kama Katibu Tawala Wilaya (DAS-Mbulu) umeona wapi mtu akagombea kwa tiketi ya upinzani na akashindwa na kupewa cheo Serikalini?