Kama ningekuwa mimi nisingetangaza..Mkuu wa upelelezi alokabidhiwa kazi hii ndiye angetangaza yeye maanake haingii akilini. Huwezi kukurupouka kutangaza muuaji kutokana na mtu kujitokeza huku majuu vichaa wengi hufanya hivyo kwa publicity tu. Ushahidi ulokusanywa hufananishwa na maelezo ya mtuhumiwa na kikubwa zaidi Dr. Ulimboka mwenyewe angemtambua mhusika hapo ndipo unaweza kutangaza.
Huyu mtu nayedaiwa kuwa jambazi maelezo yake yote yanfanana sana na yaliyoandikwa magazetini jambo mabalo hata miomi ningeweza kusema hivyo hivyo. Kama kweli huyu mtu ni jambazi kwa sifa ya Gangster, huyo Padre mbona hapewi ulinzi maana kavunja miiko ya Mapadre na upo uwezekano mkubwa kundi la majambazi wenzake kuja kumfanyizia. Mchungaji wetu jihadhari sana, maisha yako yako hatarini maana ili sinema hii ipate uzito wa kuaminika ni lazima udhuriwe vile vile.
Kama ni mkweli ndani ya moyo wake anangoja nini kujiuzulu? Unatushauri tumtie moyo iliaendelee kuidanganya nafsi yake! Hapana hiyo haiwezekani! alaaniwe yeye na mafisadi wanao mtumia.Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Hata kama anatumiwa inafika mahali inabidi uchanganye na zako siyo kamanda mzima unasema mliye mkamata ni GANGSTAR MZOEFU wa kuteka na kuuwa wakati hakuna record yoyote ya kipolisi inayo mhusu huko kwao, INTERPOL Wala Tanzania.halafu unasema alikwenda kutubu gangstar anamjua MUNGU?Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Ni makosa kumtia kova moyo ili atudanganye si vyema hata kidogo, ni vyema aende nae akatubu msikitini kwa kuudanganya umma wa Watanzania hapana kova omba watanzania msamahaa
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
Hakika majibu yetu sote ni HAPANA!
Kwa nini sasa?
ANA WAKATI MGUMU MAISHANI MWAKE KAMA KAMANDA!!! Tumtie moyo tu. Au mnadhani sikio linaweza kupita kichwa?
Ndugu wanaJF, humu ndani kumejaa lawama na laana kwa kamanda wetu kipenzi, Kova. Najua uchungu uliopo mioyoni mwa watz wengi. Lakini tujiulize au tuvae viatu vya kamanda wetu;
- Je mwenyewe alipenda alicho kitangaza?
- Hakujua mwitikio wa watz utakuwaje?
- Je yeye ni mjinga?
ndugu yangu kufanya kazi katika mazingira ya namna hii ni pengine hatari kuliko ukoma! duniani lawama na hata mbinguni kuna gehena inkungoja
Unaweza kumtambua anavyodanganya kwa kutazama yale macho yake.