Salamu jukwaa,
Wakati taifa likiwa katika harakati za kupambana na mabepari ili kunusuru rasilimali za nchi makamanda tuliowaamini muda mrefu tukawatanguliza ili waongoze vita leo wameungana na kushirikiana na adui wakitanguliza maslahi ya kisiasa na maslahi binafsi kama ni hivyo hawa ni sawa na kamanda anayeuza ramani vita kwa adui usalama wa nchi yake unakuwa mashakani na akigundulika huyo ndo anakuwa adui NAMBA MOJA wa nchi na Huyo ndo MSALITI.
(SHAME ON THEM)