Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 18,881 Reaction score 29,382 Dec 5, 2025 #81 LiveAndDirect said: Sadaka zinatolewa ili padri ale vizuri, ashibe na akemee uovu popote pale unapotendeka,unapofikiriwa na unapopangwa kwa maslahi mapana ya roho za binadamu zenye utambuzi wa MUNGU ndani yao. Click to expand... Huyu amekula sadaka mpaka amevimbiwa
LiveAndDirect said: Sadaka zinatolewa ili padri ale vizuri, ashibe na akemee uovu popote pale unapotendeka,unapofikiriwa na unapopangwa kwa maslahi mapana ya roho za binadamu zenye utambuzi wa MUNGU ndani yao. Click to expand... Huyu amekula sadaka mpaka amevimbiwa
LiveAndDirect Member Joined Jul 24, 2025 Posts 98 Reaction score 94 Dec 5, 2025 #82 Stuxnet said: Huyu amekula sadaka mpaka amevimbiwa Click to expand... Mbona kasema tu utekaji hapana kwa nafasi yake kama binadamu mwenye akili,roho na mwili na nafasi ,uhusiano hapo na kuvimbiwa uko wapi ?
Stuxnet said: Huyu amekula sadaka mpaka amevimbiwa Click to expand... Mbona kasema tu utekaji hapana kwa nafasi yake kama binadamu mwenye akili,roho na mwili na nafasi ,uhusiano hapo na kuvimbiwa uko wapi ?