Kamalizwa na nduguye

Mie huwa najiuliza kuwa hotuba si anaandikiwa? Vipi huwa hazichujwi kabla ya kufika sehemu ya kutamkwa? Je yeye binafsi hawezi chuja ni atamke na nn aache??
Ametanguliza hisia mbele Zaidi ndio maana ameishia kuchamba Zaidi kuliko kutoa hotuba.
 
Mwambie kilaza wa kimataifa Samuya ajaribu hata kwa bahati mbaya alifungie Kanisa Katoliki kama alivyofanya uhuni kwa Gwajima, ndio atajua anapokea maelekezo au hapokei.
Kwa nini alifungie? Tutasali wapi waumni zaidi ya 12 Milioni tuliopo Tanzania?
 
Kumbe kuongea ukweli ni siasa ila kuongea uongo ndo sio siasa???🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 

Unajifanya unalijua kanisa katoliki sana lakini ukweli uko wazi kuwa hulijui : wala historia ya TEC huifahamu!! Kukuonesha tu kuwa huifahamu historia ya TEC nitakuuliza swali jepesi ; Je unafahamu kuwa Dr. Wilbrod Slaa , katibu Mkuu Mstaafu wa Chadema aliwahi kuwa katibu mkuu wa TEC?
Sometimes keeping quiet is better than shouting only to show your ignorance!
 
Ninajua kuwa Dr Slaa alikuwa Katibu Mkuu wa TEC hadi mwaka 1990 wakati wa ziara ya Pope John Paul II. Ninajuwa pia kuwa Dr Slaa ni mzazi mwenzie na Rose Kamili aliyekuwa mwanasiasa wa CHADEMA kutoka Hanang na kwamba alizaa watoto akiwa bado Padre.

Uliza swali jingine
 
Mitano tena kwa Samia hadi 2030
 
Kwahiyo Samia kazungukwa na TEC, kishoto yupo "Guys" (ambaye ana mahusiano mazuri na Katoliki) kulia kuna Nchimbi .

Samia anaponaje kulamba bungo?? (In Lisu's voice).
 
Kabisa. Nahisi hawakuamini masikio yao.. Ni aibu sana ilikuwa
 
Nyie machawa ndio mnawafanya watu kuwa maarufu. Mimi masuala ya dini sifatilii, sijawahi kumjua kiongozi yoyote wa TEC. Infact hata hiyo press ya Kitima sikuiangalia kuanzia mwanzo. Baada ya mayowe ya CCM na nyie chawa ndio nikamjua uyo Kitima nakutafuta hiyo pressyake nijue aliongea nini.

Mnawapa watu umaarufu ntyie wenyewe bila kujua. Yule dogo chavala mliempa kesi ya uhaini watu wengi tu tulikua hata hatumjui kabla ya kukamatwa
 
Wakumbushe hao mashehe ubwabwa: huyo mtumishi aliyenyooka anaitwa Father Kitima, sio Kitime!
 
Na Bakwata naijua ya Hemed Bin Jumaa Bin Hemed ila ya huyu imejikita kwenye kutetea ujinga
 
Sadaka zinatolewa ili padri ale vizuri, ashibe na akemee uovu popote pale unapotendeka,unapofikiriwa na unapopangwa kwa maslahi mapana ya roho za binadamu zenye utambuzi wa MUNGU ndani yao.
 
Kama hujawahi kumjua Kitima pita kule!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…