Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Wakati wa shida, liombeeni taifa. Wakati wa upuuzi kama huu, kaeni mbali na siasaTEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
... just a broad smile with a 5000PSI BITE FORCE!Hii picha yako unaipenda kupost, huwa ina maana ipi?
https://www.facebook.com/Wakati wa shida, liombeeni taifa. Wakati wa upuuzi kama huu, kaeni mbali na siasa
Anajuwa kuwakosoa ma Rais waislamu tu huyu. Mbona wakati wa Magufuli aliufyata kama hayupo??Kiongozi wa kiroho anapojitokeza hadharani kukushauri uache matendo yako maovu, anakuwa amekusaidia. Sasa inakuwaje mnamchukia?
Kwani dhuluma, utekaji na mauaji ya raia havijashamiri kwenye jamii yetu? Ni nani wa kuwasemea wananchi wanao onewa na dola ovu kama siyo viongozi wa dini? Au mnafikiri kila kiongozi wa dini ananunulika na hivyo kumuweka mifukoni mwenu?
Haya wamtoe basi Samia wamlete Tundu Lissu Mkatoliki mwenzao. Niko pale nasubiriKwa ufupi huna akili na TEC haiyumbi yani kama unaamini ni mwaminifu ndivyo TEC hata msemaje na huyo gaidi wenu. Kitu asichojua ni kwamba wakatoliki ni kama maji hakuna mahali utawakosa hivyo mwende nao kwa tahadhari
Je wakati mwanzilishi wa utekaji nanuuaji Magufuli anatenda haya, Fr Kitima alikuwa wapi? Acheni kumonea Rais mwanamke!!! Kwa lile Jiwe mliufyata, sasa hivi kila anachofanya Samia watu midomo inawawashaZamani mambo ya utekaji yalikuwa machache mno sasa hivi yamekuwa mengi kupitiliza, ndiyo maana Father Kitima ni maarufu kwa kuyapinga kwa nguvu zote.
Very likely👊huyo Mwigulu mwenyewe ni mbaya zaidi pengine hata kumshinda Samia.
Ni dhahili, huyo Waziri Mkuu FEKI nia yake ilikuwa ni kumtumia padre kama wakala wa PRs kusaidia kusafisha uchafu uliofanywa na Samia.
Inawezekana sana kuwa Padre bado kamsetiri huyo Madilu kwa mambo mengine machafu zaidi .
kundi hili wanaamini sana kuwanunua watu kama bidhaa mradi tu wafanikishe malengo yao ya kukaa kwenye utawala kwa nguvu. Inawezekana padre kaahidiwa fungu, lakini kakataa kuwa bidhaa. Hayo asingeweza kuyaweka bayana kwenye taarifa hiyo na waandishi wa habari.
Hibyo vituo vya polisi, vituo vya Mwendokasi, na TRA ni mali yako?Unakabiliana vipi na wale mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya Polisi, Ofisi za Mahakama, TRA?? Unafanyaje na magenge ya wachoma moto mabasi na vituo vya Mwendokasi?
Una bunduki halafu unataka kubembeleza watu wanachoma vituo vya mafuta, wanaiba mali za watu kwenye maduka?
Je unajuwa kuwa walijaribu kutaka kuchoma kituo cha kupozea umeme cha TANESCO Ubungo??
Acheni akili za kindezi, risasi za moto ndiyo zimeokoa nchi isiteketee
Ita PRESS basi ukane WARAKA wa TEC kama alivyokuwa anafanya Pengo.Vyovyote utakavyoita huwezi kubadili ukweli. Ninatoa fedha kwenye ibada za misa takatifu na michango maalumu inayoitishwa
Ni haki yake
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Vyovyote utakavyoita huwezi kubadili ukweli. Ninatoa fedha kwenye ibada za misa takatifu na michango maalumu inayoitishwa
We unakosea kupeleka sadaka yako kanisani. Kaungane na wale mafisadi waliochangia ccm mabilioni ya uchafuzi. Suala la kutegemeza kanisa la Mungu na watumishi wake tuachie sisi wenye imani.Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Hivyo vituo vilivyochomwa moto ni mali ya umma. Na Serikali inajenga kutoka kwenye kodi zetu.Hibyo vituo vya polisi, vituo vya Mwendokasi, na TRA ni mali yako?
Ukijenga kwa pesa zakonza mfukoni??
Haya mmeua maelfu ya watu, tunasubiri kuona mnavyotawala mchi hii, mkiwa mmegeuza hiyo MILITIA yenu ya JWTZ kuwa POLISI barabarani.
Pengo ndiyo nani?Ita PRESS basi ukane WARAKA wa TEC kama alivyokuwa anafanya Pengo.
Huu UBWEKAJI hata SHEIKH MAJINI alibonga SANA na HINA lake KWENYE NDEVU mpaka akawa anatoa JASHO.Hivyo vituo vilivyochomwa moto ni mali ya umma. Na Serikali inajenga kutoka kwenye kodi zetu.
Wanaochoma miundombinu hawana haki ya kuishi, rosasi ndiyo hukumu yao
Mbona wanapotaka sadaka wana brag pia? Zinasomwa Jumuiya iliyoongoza hadi Jumuiyanya mwishoKwanza kwetu sisi wakatoliki kutoa sadaka ni wajibu it's not something to brag about!
Hiyo inakutoa kwenye hili kundi pole sana
Wewe huijui RC, wala huwezi kunitoa kwenye reli kwa sababu hiyo. Kwani RC wakipokea michango ya madisadi mbona mnapokea??We unakosea kupeleka sadaka yako kanisani. Kaungane na wale mafisadi waliochangia ccm mabilioni ya uchafuzi. Suala la kutegemeza kanisa la Mungu na watumishi wake tuachie sisi wenye imani.
Simfahamu Sheikh MajiniHuu UBWEKAJI hata SHEIKH MAJINI alibonga SANA na HINA lake KWENYE NDEVU mpaka akawa anatoa JASHO.
RISASI za MAGAIDI haziulizi DINI, UCHAWA wala CHAMA.
Naomba nikupuuze ndugu muislam!Mbona wanapotaka sadaka wana brag pia? Zinasomwa Jumuiya iliyoongoza hadi Jumuiyanya mwisho
Kulilia au kupigania uhai wa watu kupotezwa kupitia kutekwa and the like ndiyo siasa?TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa