https://www.facebook.com/Guys guys guys na Samuya press za TEC zinawatesa sana plus Gwajima,Funga miaka 1000 .....hapo lazima watu walale na viatu
Acha kutumia makamasi kufikiri. Wapi hapo kuna itikadi za kisiasa. Kusema ukweli watu wameuwawa. Ufisadi wa bandari kupitia Dp world. Kuteka watu kama kuku?TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Mwigulu alisema wameshaanza kufanya maridhiano na tayari ameshakutana na viongozi wa Tec. Tec hawanunuliki kwa mwaliko na kikombe cha chai.Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki๐๐๐ฟ
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwq ilikuwa ni personal consultation
Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!๐
Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana
Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!
Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/
Tanganyika iko mikononi mwetu kuanzia mwaka 1961,lakini Samia ndo maarufu na muuaji wa watanganyika wengi kuliko rais yeyote .TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
huyo Mwigulu mwenyewe ni mbaya zaidi pengine hata kumshinda Samia.Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?
MAUAJI na WIZI siyo SIASATEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mnataka mpambane na akili kubwa mtaweza?TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Wewe hujawahi toa sadaka bwana!TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Wewe hata hela ya sadaka huna.TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.
Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Msema kweli utamweka huruPadri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki๐๐๐ฟ
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwq ilikuwa ni personal consultation
Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!๐
Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana
Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!
Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/
Kwa hiyo huyo dogo chini ya miaka 12 alitaka kupindua Nchi?uwezo wa kufikiri vilaza hawa upo chini sana,juzi kitima kaweka mtego kidogo tu jana bibie kajaa kwenye vyavu kaueleza ulimwengu kuwa yeye ndiye aliyeruhusu mauaji ya maelfu ya watanganyika sasa huyu akifika icc si atatapika kila kitu.View attachment 3510711
Machawa hawana rafiki ila damu na uchafu mwanangu. Hapo, hapakuwa na ndugu bali mmoja binadamu na wenginewe chawa.Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki๐๐๐ฟ
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwq ilikuwa ni personal consultation
Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!๐
Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana
Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!
Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/
Hii ndo Kauli ambayo ilimuweka Fr Kitima kwenye nafasi ngumu ikabidi atoke adharani, inaonekana baraza la maaskofu walimuuliza kuwa ulienda kuonana na uyu mtu ili kuanzisha maridhiano kwa niaba yetu? Ikabidi jamaa atoke ili aweke kumbukumbu sawa na mbaya akaenda kwenye details zaidi.Mwigulu alisema wameshaanza kufanya maridhiano na tayari ameshakutana na viongozi wa Tec. Tec hawanunuliki kwa mwaliko na kikombe cha chai.
ogopa sana damu zisizo na hatia tutarajie makubwa siku za usoni hotuba ya jana ilikuwa intro...Kwa hiyo huyo dogo chini ya miaka 12 alitaka kupindua Nchi?