Kama ZITTO angekuwa M/kiti CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ZITTO angekuwa M/kiti CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kijallo, Mar 20, 2011.

 1. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuona mwelekeo wake ni kama haeleweki ndani ya chama,na jinsi anavyoongelewa na watu ndani na nje ya Jf.(1)Hivi angekuwa mwenyekiti Cdm ingekuwaje kwa sasa?(2)Anafanya hayo kama kidonda cha kukosa uenyekiti au ndiyo moyo wake ulivyo?WAKUU naombeni mnisaidie
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  this is enough for zitto, hakuna haja ya kudiscuss zitto aliyelizika na mali zake na kusahau machungu ya watanzania:hatari::hatari::hatari:
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,915
  Likes Received: 12,086
  Trophy Points: 280
  Kama Zitto angekuwa m/kiti CDM ingekuwa imefanya kosa la mwaka leo ingekuwa kama CUF ya kina Mrema na Zitto angekuwa kama Lipumba.
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  1. Kungekuwa hakuna upinzani tena
  2. DOWANS wangelipwa hela isiyo yao
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Angelikuwa M/k chadema ingelikuwa mke mdogo wa ccm baada ya CUF..hatari tupu!
   
 6. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Leo Chadema ingekuwa hayati kama siyo marehemu
   
 7. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  S. Robert alisema 'mchwa akitakiwa kuuwawa hugeuzwa kumbikumbi na kupaa juu, huko huliwa na ndege'
   
 8. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi sijui!!!
   
 9. k

  kayumba JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nafikiri wote tunajua!
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  vyama vyote vya upinzani vingeungana na ccm kama walivyofanya cuf
   
 11. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuna ulazima wa kuwachuja hawa jamaa na kuona nani mkweli ila haya Zitto amesemwa sana humo ndani hivyo kama yeye huwa asoma hizi basi abadilike haraka sana
   
 12. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,068
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  You are quite right King of Kings a lot has been said about Zitto he rarely responds at most he ignores many allegations which are levelled against him. So comrades why cant we call it a day and concentrate more
  on other important issues rather than wasting our precious time on him. Does he really deserve such a prominence?
   
 13. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hawezi kuwa m/kiti wa cdm.
   
 14. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Angeungana na kafulila,jk,ra,el na mkono. Tungekuwa na ccmcdm.
   
 15. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Mnajua msimamo wa slaa/mbowe/mnyika/mdee etc. juu ya NSSF kuchukua kiwira?
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Zitto kuna wakati namkubali lakini kuna kipindi ni dhahiri kabisa anakuwa ameingia chaka, na kama angekuwa mwenyekiti CDM basi CCM wasingeihara CDM kama ilivyo sasa. Kwa taarifa CCM na serikali yake inawahanya sana Mbowe na Dr. Slaa kwa mtazamo na misimamo yao kiutendaji ndani ya chama kuliko Zitto.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kama JK alivyoambiwa na Nyerere kuwa bado hawezi kuwa rais kwa wakati ule na ndivyo hivyo hivyo kwa Zitto laiti angelikuwa mwenyekiti upinzani ungeshapoteza dira hususani CDM.
   
 18. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,555
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Ukitumia akili kwenye POST kama hizi utagundua kuwa wachangiaji wengi ni CCM ambao wanajifanya CDM lengo ni kuzidi kuudhoofisha upinzani kwa kuleta migogoro, wasikilizeni viongozi wenu kama mtu ana matatizo wao wanamjua zaidi.
   
 19. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,915
  Likes Received: 12,086
  Trophy Points: 280
  Naomba Mungu usiku na mchana hili lisitokee hata huo unaibu katibu na wasiwasi nao hawezi.
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  hivi unaweza kuimarisha chama hapa kwenye kijiwe?
   
Loading...