TUNTEMEKE
Platinum Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 581
Sawa lakini kiongozi bora hajifichi mbona hata ndani ya CCM walio bora tunawajua na wanaonekana.
JOHN MREMA, REIA MTEMA, GODBLESS LEMA, JOHN MNYIKA,BASIL LEMA, BENSON KIGAILA imetosha jamani..nashauri acheni kutusumbua humu jamvini na chokochoko zenu hizo zilizojaa uchaga na unafiki..
mbona wewe JOHN MREMA ulimlilia zitto huyo huyo unaesema ni mchafu akakutenenezea mabango ya kampeni...mbona wewe Godbless lema ulimlilia zitto akuchangie kiipndi chako cha kabla ya kampeni na akakupa dola za kutosha...
ndugu zangu wala msikubali kupotoshwa na hiki kikundi cha washenzi wachache wa kichaga ambao kosa lao kubwa kwa zitto ni kugombea uenyekiti..
kama zitto ni mbaya mbona alisimamia kura za slaa hadi dakika ya mwisho wakati si mrema, mbowe wala regia ambaye alikwenda katika majumuhisho!.
tunafahamu sana kuwa kinachomponza zitto ni msimamo wake na maamuzi yake ya kuaktaa kutumiwa na kanisa katoliki.
big up zitto utashinda tu haya majaribu.