Anasema hivi, eti sie wanawake tuna michezo, tukiwa 20s bado tunajiona wadogo kuolewa ila tukifika 30s uko ndio tunasaka kuolewa na tunachelewa kuwa na watoto mtu ana 26 bado hana mtoto๐๐๐ht sijui kasemaje
Mmh, wengine wanasema ndoa ni utapeli. Wengine wanasema ndoa inam-favour mwanamke. Huyu tena anawasakama wasioolewa. Aweee sijui wanatuonaje hawaAnasema hivi, eti sie wanawake tuna michezo, tukiwa 20s bado tunajiona wadogo kuolewa ila tukifika 30s uko ndio tunasaka kuolewa na tunachekewa kuwa na watoto mtu ana 26 bado hana mtoto
Ndio usikilize sasa๐๐๐ht sijui kasemaje
Mmh, wengine wanasema ndoa ni utapeli. Wengine wanasema ndoa inam-favour mwanamke. Huyu tena anawasakama wasioolewa. Aweee sijui wanatuonaje
Sijui mnatakaje nyie wanaume eti.
Hahaha Mimi hata sijasikiliza nimeona tu pisi kali , nikaona Sio mbaya nikakuita๐Sijui mnatakaje nyie wanaume eti.
Mlidhani kataa ndoa ina work kwenu tu....kuna wanawake pia wanaona ndoa ni utapeli....hata hivyo sio pisi kali wote hawajaolewa na hawana wtt, pisi kali kweli hasa zinaolewa at early 20's. Hao anaowasema jamaa labda wauzaji tu wanaona wakiolewa biashara itakuwa ngumu
Yani ni vituko tu sa inamfavor nini anapewa tuzo? Wanatuona kama mananihii yao mfyuu!Mmh, wengine wanasema ndoa ni utapeli. Wengine wanasema ndoa inam-favour mwanamke. Huyu tena anawasakama wasioolewa. Aweee sijui wanatuonaje hawa
Heee huyo bado yuko zana za maweAnasema hivi, eti sie wanawake tuna michezo, tukiwa 20s bado tunajiona wadogo kuolewa ila tukifika 30s uko ndio tunasaka kuolewa na tunachelewa kuwa na watoto mtu ana 26 bado hana mtoto
๐๐๐๐Mmh, wengine wanasema ndoa ni utapeli. Wengine wanasema ndoa inam-favour mwanamke. Huyu tena anawasakama wasioolewa. Aweee sijui wanatuonaje hawa
Na tunaamua tukae hivyohivyo yote yanawezekana bana! Wanatutisha tisha kama vile ndio ukombozi huo mwee!Heee huyo bado yuko zana za mawe
Sshv watu washatoka huko
Tunaamua tu tuzae lini na nani๐๐
Nakusoma tu mama mchunga , mnadanganyana na mama mchunga mwenzako ๐คNa tunaamua tukae hivyohivyo yote yanawezekana bana! Wanatutisha tisha kama vile ndio ukombozi huo mwee!
Na wewe je umesikiliza lakin?๐๐๐๐
HapanaaaaNa wewe je umesikiliza lakin?
Tunaomjua Bwana hatutishwi na maneno๐Nakusoma tu mama mchunga , mnadanganyana na mama mchunga mwenzako ๐ค
SawaTunaomjua Bwana hatutishwi na maneno๐
Afu wewe, mwenzio katuponda sasaHahaha Mimi hata sijasikiliza nimeona tu pisi kali , nikaona Sio mbaya nikakuita๐
Poa tu mrembo , nilikumisi sanaAfu wewe, mwenzio katuponda sasa
mambo vp lakini? Kheri ya mwaka 2026
I missed you too...ukapotea baada ya uchaguzi wengi humu tukadhan umepata mtihani aiseePoa tu mrembo , nilikumisi sana
It's too late already,mimi ni bibi๐