feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,775
ha ha ha ushawishi utazidi
Hapo ndo kwenye mtihani wa self displine
ha ha ha ushawishi utazidi
Hapo utamuonesha birianiNamwita huyo wa mbele! Tubadilishane tuu
Huyo hata ungekuwa mbele angekufunua na miguu aone msambwanda..Namwita huyo wa mbele! Tubadilishane tuu
Ataona ila hatagusaHapo utamuonesha biriani
Hahaha hahaha hahaha hahahaHuyo hata ungekuwa mbele angekufunua na miguu aone msambwanda..
Atakuwa sio mgonjwa sasaNa yeye anaamua kugeukia mbele
Kama unataka likizo uende weweKhaaah!...? Umenishinda utukutu kwa umbeya, fanya haraka uandae nguo zako uende likizo kwa wakwe zako Mafia.
Kama unataka likizo uende wewe
Teh teh..Unahisi huyo mkaka ndo hataki kuona??Hahaha hahaha hahaha hahaha
Yaani mecheka sana jamanii... Kumbuka nyuma kutakuwa na huyo mkaka
[emoji3][emoji3][emoji3] yaani wewe bwanaha ha ha ha akizidiwa anapeleka mkono huko,matokeo yake aliyebeba machela anaanza kurembua na kutamani safari iendelee kuwa ndefu
Hahaha hahaha hahahaTeh teh..Unahisi huyo mkaka ndo hataki kuona??
Ha ha ha haKama unataka likizo uende wewe
Ungekuwa wewe ungefanyaje?[emoji3][emoji3][emoji3] yaani wewe bwana
ha ha ha ha haAmini usiamini kuna watu wanatamani wengekuwa kwenye machela 😬😬😬😬😯😯
Hahaha nayeye atajigeuza kichwa mbele miguu nyumaNamwita huyo wa mbele! Tubadilishane tuu
Hahaha hahahaHahaha nayeye atajigeuza kichwa mbele miguu nyuma
Eeeh! Kama mimi ni mgonjwa na najiweza najigeuza to the other side too..[emoji41]Namwita huyo wa mbele! Tubadilishane tuu