Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Kama wewe ni nurse ungefanyaje?

Kuna mawili;
1. Labda mgonjwa amekuwa akimlilia sana huyo nesi kwa siku nyingi hadi kupatwa na ugonjwa wa moyo. Hivyo alipozinduka akajikuta amebebwa na huyu nesi basi akaamua ajionee hata kwa macho hicho anachokililia hivyo kikoje??
2. Yawezekana huyo nesi ni mke wa huyo aliye mbele. Hivyo jamaa akaomba ajifanye kuzimia ili nesi ampe nafasi ya kuchungulia tu kwa macho kwani hakuna namna. Mpe hatua 10 tu sasa hivi na utaukuta mkono umeingia ikulu ndogo
ha ha ha ha halafu ukute ndio mkeo huyo
 
Kazi zina changamoto sana
Ni kweli mkuu,nakumbuka miaka 14 iliyopita nilienda hospitali moja kung'oa jino;kuna daktari wa kike ndio alinihudumia,nilikuwa natamani aendelee tu kunihudumia.....lakini inabidi tu tuendelee kuwapenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom