Kama watu wanaweza kutengeneza hivi basi Askofu anaonewa

Hujui ulichokiweka hapa,na hujui tech hii inafanywaje

Na ndomana juz nilileta uzi hapa,wa Tz sabab ya elim ndogo bas tunaweza kua manipulated vyovyote na tukaingia chaka

Hiv unajua hyo tech ili kuifanya kuna vifaa maalum ambavyo lazima muhusika anaye editiwa awepo na lazima avalishwe hzo receptors katka maeneo yote ambayo yanafanyiwa editing?na unafaham ni ugum kias gan kuunganisha picha na saut ya tukio lililo live na uka capture saut zote za nje na ndan,yaan mfano upepo,saut za wadudu or saut za kitanda etc..sjui kama unanielewa..na hyo uliyoweka ni animated image,...gwajima ile si animated,kama unafaham haya mambo ni rahis kujua,..

Hakuna mtu anaweza edit kitu kama kile dunian,..editing znafanywa lakin si Tz
Yaaan Acha Tuuh Wanafikiri MANIPULATION ni Simpo Hahaah
 
Mkuu hzo ni katuni, mbna mnatumia nguvu nyingi sana kudefend kwenye hamna, mlianza na editing, mkaja na news nyingine kwamba kanyweshwa juice ya kichawi akajikuta anamla kondoo bila kujijua, leo tena mnakuja na story ya katuni

Ninachojua ni Kuwa Gwajima amefanya uzinzi, na itakuwa ni tabia yake....leo anaweza kuchafua watu waliovujisha video yake ila ukweli utabaki pale pale kwamba jamaaa ni mzinzi..!!!
Jamani tujadili jinai kwenye tukio hili kwani hiyo ndio issue, kumla muumini au mwingine yeyote si jinai ili mradi hakuna aliyelalamika kati ya wawili waliohusika na hilo tendo. Gwajima ni mwanadamu kama wewe na mimi - he is prone to failure.
Ndio maana Mambosasa alipiga about turn baada ya kugundua kosa lake kwenye tishio la kwanza. Kosa hapa ni kubandika ile vidio kwenye mitandao - hii ndi jinai na ndiyo tunatakiwa kuijadili humu kama great thinkers vinginevyo tuna bifu binafsi na Gwajima.
Hata kama huyu sio Gwajima bado akipatikana aliyerusha hiyo video atawajibishwa na vyombo vya dola kwa kuweka kwenye mtandao picha za ngono kinyume na sheria ya matumizi ya mitandao.
 
Mkuu hapa hatuna shida kabisa na swala la makosa ya kimtandao, ni kweli jamaa ni binadamu kama binadamu wengine, kinachomponza ni status aliyo nayo, katika maisha kuna makosa hutakiwi kuyafanya ukishafika level flani....!!! yey ni mchungaji na askofu mkuu, kwa status ile hakutakiwa kufanya offence ya vile...!!!
 
Acha kujifanya mtaalamu kumbe Hakuna kitu, Una maana gani kusema hakuna mtu anayeweza kufanya editing kama ile duniani! We uko sawa kweli watu wamefanya Titanic na avengers watashindwaje ule udambu wa sek 70! Nikwambie tu ukweli hakuna kitu ambacho now days utakielezea watu wakashindwa kukifanya kwenye ulimwengu wa Movie, shida ni Gharama tu ila hakuna kinachoshindikana kwenye ulimwengu wa movie Jamaa, watu wako mbali katika hali ya ajabu
Hujui ulichokiweka hapa,na hujui tech hii inafanywaje

Na ndomana juz nilileta uzi hapa,wa Tz sabab ya elim ndogo bas tunaweza kua manipulated vyovyote na tukaingia chaka

Hiv unajua hyo tech ili kuifanya kuna vifaa maalum ambavyo lazima muhusika anaye editiwa awepo na lazima avalishwe hzo receptors katka maeneo yote ambayo yanafanyiwa editing?na unafaham ni ugum kias gan kuunganisha picha na saut ya tukio lililo live na uka capture saut zote za nje na ndan,yaan mfano upepo,saut za wadudu or saut za kitanda etc..sjui kama unanielewa..na hyo uliyoweka ni animated image,...gwajima ile si animated,kama unafaham haya mambo ni rahis kujua,..

Hakuna mtu anaweza edit kitu kama kile dunian,..editing znafanywa lakin si Tz
 
Mkuu hzo ni katuni, mbna mnatumia nguvu nyingi sana kudefend kwenye hamna, mlianza na editing, mkaja na news nyingine kwamba kanyweshwa juice ya kichawi akajikuta anamla kondoo bila kujijua, leo tena mnakuja na story ya katuni

Ninachojua ni Kuwa Gwajima amefanya uzinzi, na itakuwa ni tabia yake....leo anaweza kuchafua watu waliovujisha video yake ila ukweli utabaki pale pale kwamba jamaaa ni mzinzi..!!!
Niliposikia "mimi ni mwanaume nazaa..." nikajua kondoo ashaliwa!!
 
Back
Top Bottom