Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,387
Msiba una uhusiano gani na ujio wa Lissu?Wewe hujui kwamba taifa lina msiba mkubwa?
Hakuna cha msiba, amekufa ameziba shimo la kwake maisha yanaendelea. Wazazibar waliopigwa risasi wakafa utawala wake wala unadhani wana habari na kufa kwake?! Kila mmoja abebe msalaba wake!Wewe hujui kwamba taifa lina msiba mkubwa?
Kumbe nyie ni wanyonge? Tusaidie tujue nani anawanyonga au nani anawafanya mue wanyonge huku kila tarehe tisa Disemba mkisherekea siku ya kupata Uhuru.Ujio wa TL haua maslahi kwa taifa! Kwanza ngoja atue uwanjwa wa ndege uone atakavyo tehemu maana Hali imebadirika! Nafikiri angeachwa peke yake tu ili apotee kwa maendeleo yaliyofanywa na kipenzi Cha wanyonge Magu!
Kamuulize JpM ndiye anajua maslahi ya Tundu Lissu pindi akiingia nchini. We kapuku huna unalolijua.Ujio wa TL haua maslahi kwa taifa! Kwanza ngoja atue uwanjwa wa ndege uone atakavyo tehemu maana Hali imebadirika! Nafikiri angeachwa peke yake tu ili apotee kwa maendeleo yaliyofanywa na kipenzi Cha wanyonge Magu!
We naye aah, shauri yako...asiyejua maana....!?Kumbe nyie ni wanyonge? Tusaidie tujue nani anawanyonga au nani anawafanya mue wanyonge huku kila tarehe tisa Disemba mkisherekea siku ya kupata Uhuru.
So uende tuu mbona makelele mengi yote haya!Tumeshuhudia wasanii wetu waliposhinda tuzo kwenye nchi za watu wakipokelewa na mashabiki zao makumi kwa mamia, itakuwa ni jambo la ajabu kwa wapenzi wa CHADEMA na Tundu Lissu kuzuiwa kumpokea mpendwa wao
Msiba wenu siyo wetu.Wewe hujui kwamba taifa lina msiba mkubwa?
Nataka nielewe tu mkuuWe naye aah, shauri yako...asiyejua maana....!?
Nimeivuaje nguo kwa mfano!Unaivua nguo Serikali yetu pamoja na Chama chetu sasa
Hakuna cha msiba, amekufa ameziba shimo la kwake maisha yanaendelea. Wazazibar waliopigwa risasi wakafa utawala wake wala unadhani wana habari na kufa kwake?! Kila mmoja abebe msalaba wake!
Acha kumpamba mwabnadamu, amekufa kama wewe na mimi tutakavyokufa na kuzikwa na kuoza na kuwa mbolea ya mimea....