pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Unataka wazungu wamkamate hau hao polisi? Ueleweki, alafu kuna bandiko niliona unalialia jammeh kushindwa uchaguzi eti wapiga kura waliomkataa ni vibaraka wa wazungu, kinachokuuma ni nini wagambia kumchagua wanaemtaka?Haujaelewa hata wewe, mpka sasa hvi Gambia hakuna Raisi kwa mujibu wa Wazungu na Jeshi halipokei Amri tena ktk kwa Jammeh, sasa kwa nini waivamie Gambia? Logic iko wapi? Ni kwa nini tu wasimkamate kwa maana si yupo tu!