Kama vipi ng'oeni vi ATM VYENU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama vipi ng'oeni vi ATM VYENU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dubu, Nov 1, 2011.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  haiwezekani mtu unazunguka mji mzima kisa ATM.kama hamuezi kuvitumia virudisheni mlipovitoa sio kutuletea dhiki.kwanini hamzikarabati na kutuwekea hela zetu?hela tunazitafuta kwa shida hata tukishazipata mnataka tuzitumie kwa shida?
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  kwani ulipigiwa mdundiko kwenda kuziweka kule??? hamisha we vp
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ATM zenyewe naskia ni 2nd hand. Ujinga mtupu.
   
 4. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ATM: Ni janga la kitaifa!
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  SIKUMOJA ILINITESA
  NILITOKA HOME NA BKU 2
  NKAENDA PALE URAFIKI
  NKAKUTA HAKUNA NETWORK nkachukua boda ili niwahi pale mlimani city napo hola
  ikanibidi niombe boda linilete mtaani niombe hela sehem
  nilikasirika mno loool
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  pole sana.ile hali ya kukodi taxi eti ntakulipa tukifika atm naweza kutuumbua lol..!!
   
Loading...