Mwakyembe alilishwa sumu na nani? Baada kuwapa polisi taaeifamuhimu walifanya nini? Mbaya zaidi gari polisi ilirumika12 magaidi wote wapo chadema...13.wlisha watu sumu wapo chadema...14.....
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?
CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema
[JFMP3]
Kuwa makini na uwe mkweli[/JFMP3]
Mtu kakuambia anayaogopa magwanda,Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?
CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema
Kuwa makini na uwe mkweli
ww mtoa mada utakua umekula hii kitu
![]()
Taja ID yangu nyingine zaidi ya hii BBJ kiazi we!
Mtu kakuambia anayaogopa magwanda,
Kwani hujui kuwa ni haki yake kuchagua kipi akiamini na kipi asikiamini?
Mie mwenyewe sili sahani moja na magwanda siku hizi kwani nasikia kuna kijana humu anatembea na sumu mfukoni
Jipangeni kutuondoa tutaondoka. Kama mkishindwa basi tuvumiliane ndugu yangu. Tubanane hivi hivi.Wewe na wengine kama wewe ni kati ya wale wanawake wapumbavu waliofika karamuni na taa zikiwa hazina mafuta. Endelea kujifunika tu. Chama kitafanyaje kazi zake kwa ufanisi ikiwa kinaandamwa hivi na hawa hayawani ambao waliapa hadharani kuwa lazima wakiangamize chadema? Haya unayoyasikia na kuyasoma na kuyaona hayakuridhishi kuwa kuna hujuma zinaendelea dhidi ya chadema? Rudini huko huko. Huku tuachieni sie.
Duh, kumbe CHADEMA ina wenyewe!. Hizi kauli ninazisikia sikia naona kwa sasa zinahitaji tafakuli ya kina.We kata tamaa na ikibidi kula kona tu utuachie chama chetu salama. Maana nyie wa hivi hamkawii kuleta miujiza kwenye chama kama wale wenzenu.Am labda unajipa uanachama.
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?
CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema
Kuwa makini na uwe mkweli
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?
CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema
Kuwa makini na uwe mkweli
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?
CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema
Kuwa makini na uwe mkweli
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.
Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.
Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.
Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.
Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.
Tafuta kalume kenge wenzako ujibizane nao!
Chama
Gongo la mboto DSM
Wapi amesema yeye ni mwanachadema?. Mbona ameweka msimamo wake wazi kabisa hapa?!.Una uhakika wewe ni Mwanachadema?.Hizi sio sifa za wanachadema