Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

Wapi amesema yeye ni mwanachadema?. Mbona ameweka msimamo wake wazi kabisa hapa?!.

Hivi zile kura zaidi ya milioni 2 alizozipata Dr katika uchaguzi wa 2010, zilikuwa ni za wanachadema tuu?!.

Amesema wazi yeye ni CCM na 2010, ameipigia kura Chadema akiwa ni mwanachama wa CCM na sasa ndio alikuwa amejipanga kuingia rasmi Chadema, ila sasa amesita!, japo siungi mkono sababu alizozitoa, ila wako wengi ambao sio wanachama wa Chadema, lakini wanaiunga mkono Chadema. ila kwa haya yanayoendelea sasa ndani ya Chadema, they are not nothing!, japo kwa sasa bado sio something!, mwisho wa siku, there will be something!. japo kwa sasa it doesn't matter much!, but it will unless wale jamaa zetu wawe ni makamanda wa ukweli, watavumilia mpaka mwisho na kufa kizungu na tai shingoni!, ila kwa trend nilio iona sasa, ame/wameconfess hivyo subirieni tuu, its just a matter of time!.
Pasco.

Kuna mahali nilikosema waliopiga kura ni Wanachadema tu?What are you trying to insinuate here?

And what is that you call 'Nyie subirieni tu'?

Haters keep on hating, cause somebody's gotta do it. Justice,justice,justice!

Ungekua huna nia mbaya katika hilo linaloendelea ungesubiri kesi iende mahakamani kabla ya kujifaragua na kutaka kuonekana uko objective.Wale wale wanaokua mstari wa mbele kudandia matukio na kuanzisha nyuzi zinazowaumbua baadae.

Tanzanians do not deserve the attention of glory seekers, or busy bodies but true, investigative and honest fact-finding journalists (if perhaps that is what you and your fellow collaborators seeks....Selfish politicians,Mtanzania newspaper &Co) but we’ll let it pass.

Having responded (your post), it is imperative i remind people (with the same behaviour and mentality) of your insincerity of purpose, the deceitful and wicked gesture with which they treated a lot of Gullible Tanzanians to plates of lies
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.
nini ushauri wako hapo?.
 
........................................................... Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

Unastuka kwa sababu ukombozi wa kweli umekaribia, utawala dhalimu unaanguka kwa kishindo kikubwa sana, ndio maana unapata hofu.....wewe kachome moto ile kadi ya ccm iliyopo ndani kwako na hapo hutaogopa tena ukiona magwanda badala yake utakuwa kila ukiona magwanda unajihisi km mtu aliepata japo tone la maji jangwani...hio kadi iliyopo ndani ndio mzimu unaokutisha na kukukatisha tamaa..............niamini plz na usirudi nyuma ukombozi u karibu sana!!!!!!
 
wewe ndiyo wale wale mnaofikiria kuwa watanzania ni mazuzu kwamba mnaweza kuwatengenezea vitu vya kuigiza na wakawaamini,mlikolala wenzenu ndiyo wameamkia huko jana!ukweli upo hadharani!
 
Mtu kakuambia anayaogopa magwanda,
Kwani hujui kuwa ni haki yake kuchagua kipi akiamini na kipi asikiamini?
Mie mwenyewe sili sahani moja na magwanda siku hizi kwani nasikia kuna kijana humu anatembea na sumu mfukoni

Chris Lukosi ungekuwa na akili wala himu jf usingekuwa unaandika lakini kwa kuwa unafikiria kwa kutumia masaburi na tumbo bado emeng'ang'ania tu unawashwa na nini we mtoto wa watu?
Lumumba wankupa posho halafu unajidai msomi ulienda kusoma nini au ulikuwa shamba boy huko kwanza tunasikia ulifukuzwa huko kwa utapeli sasa watu wachafu wasio wasafi kama wewe hata kwenye chama hawahitajiki umezoea wizi nenda ccm kwa wezi qenzako Chadema huna nafasi hatuwezi kuwa na wendawazimu na wezi kama wewe

Saaana utakuwa sawa na KONDOM tu utatumika mwisho watakutupa tu wako wapi wenzio akina Mtela na Juliana wamekuwa makatapila ya kuvunja pori wanaume wapite sembuse kibaka wewe?

Utawaandalia wenzio tu mwiaho wa siku hata ubunge hautaambuia hata Udc kalaghabaho
 
sidhani hata kama CDM inakuhitaji maana umekuwa mzigo kwao badala ya kuendeleza chama umekuwa ndumilakuwili... kwani una magwanda ya Jeshi huku umebeba kitambulisho cha Mgambo.... tunakutangazia wazi kuanzia leo Tunakuvua Magwanda yetu.. baki na kitambulisho chako cha mgambo.... akili kama za Mwigulu kwendaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli
Hili ni Gamba tuu, tena lipo ndani ya Lumumba. Achana nalo, halina Jipya, J.Mosi kitaeleweka pale blue pearl. Ufunguzi wa kanda ya Mashariki.
 
msipoteze muda kumjadili huyu great thinkers wa chadema.huyo ni ccm wa lumumba. yupo kazini huyo ndo kula yake hiyo.
 
Kuna mahali nilikosema waliopiga kura ni Wanachadema tu?What are you trying to insinuate here?

And what is that you call 'Nyie subirieni tu'?

Haters keep on hating, cause somebody's gotta do it. Justice,justice,justice!

Ungekua huna nia mbaya katika hilo linaloendelea ungesubiri kesi iende mahakamani kabla ya kujifaragua na kutaka kuonekana uko objective.Wale wale wanaokua mstari wa mbele kudandia matukio na kuanzisha nyuzi zinazowaumbua baadae.

Tanzanians do not deserve the attention of glory seekers, or busy bodies but true, investigative and honest fact-finding journalists (if perhaps that is what you and your fellow collaborators seeks....Selfish politicians,Mtanzania newspaper &Co) but we’ll let it pass.

Having responded (your post), it is imperative i remind people (with the same behaviour and mentality) of your insincerity of purpose, the deceitful and wicked gesture with which they treated a lot of Gullible Tanzanians to plates of lies

This thread was a hypothesis, and its revealing that a particular group has about 90% of furious behaviuor unreasonably in responding to provocative issues, 5% are moderate, 4% are conservative - may be due to having "mahaba" to a particular political party and the remaing 1% are "kanyaga twende". We have to be big thinkers and have logical thinking rather than political or fashional influences. Ben Saa Nane bana!
 
hahaha maneno Mengi kubali umekurupuka kaka,hili ndo tatizo lenu kitu kidogo mnakurupuka.
 
In my minuscule intelligence, I have a syllogism...
Majority on this form posses furious behaviour
According to Avanti's response,he is one of them..
Therefore Avanti is a.......

hahaha maneno Mengi kubali umekurupuka kaka,hili ndo tatizo lenu kitu kidogo mnakurupuka.

Shallow analysis will always mislead you.

Does it make sense,mtu kusema alitaka kujiunga na CHADEMA

Wakati huo huo anasema hata ile Kombati yake anasita kuivaa.Hadi mtu umenunua kombati ambayo ni 'vazi la kifalsafa' bado hajawa Mwanachadema tu?

Sasa aseme aidha

1: Ni kweli alinunua kombati wakati huo huo post zake zikionyesha muda wote akiitukana CHADEMA huku JF

2:Amedanganya vyote hapo

Ni lipi kati ya hayo hapo juu.

May God save us from this money-miss-road.
 
Last edited by a moderator:
In my minuscule intelligence, I have a syllogism...
Majority on this form posses furious behaviour
According to Avanti's response,he is one of them..
Therefore Avanti is a.......

Shallow analysis will always mislead you.

Does it make sense,mtu kusema alitaka kujiunga na CHADEMA

Wakati huo huo anasema hata ile Kombati yake anasita kuivaa.Hadi mtu umenunua kombati ambayo ni 'vazi la kifalsafa' bado hajawa Mwanachadema tu?

Sasa aseme aidha

1: Ni kweli alinunua kombati wakati huo huo post zake zikionyesha muda wote akiitukana CHADEMA huku JF

2:Amedanganya vyote hapo

Ni lipi kati ya hayo hapo juu.

May God save us from this money-miss-road.
If ni shallow analysis kulikua na ulazima Gani wa wewe kujibu?
Sio mbaya Uko kazini.
 
If ni shallow analysis kulikua na ulazima Gani wa wewe kujibu?
Sio mbaya Uko kazini.
Yeah kulikua hakuna ulazima.It needs courage.Actually,It's very hard for me to take you seriously with your mindless, silly and misguided outrage.

By the way nilidhani muda huu utakua bungeni baada ya kurudi kwenye chama chako cha zamani au bado unasubiria usajili wa kudumu ukamilike kwa kile kingine.Good day!
 
Tafuta MASHOGA wenzio ujibizane nao!

Bahati ya mbaya uliyebakia ni wewe tu; sasa ili tusiharibu mjadala unaonaje tukaingia kwenye PM?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Yeah kulikua hakuna ulazima.It needs courage.Actually,It's very hard for me to take you seriously with your mindless, silly and misguided outrage.

By the way nilidhani muda huu utakua bungeni baada ya kurudi kwenye chama chako cha zamani au bado unasubiria usajili wa kudumu ukamilike kwa kile kingine.Good day!

Do you know that you are among ruining CDM, do you know that your empty-but-must-argue contributions are distorting CDM? Do you know that your carrying poison in your pockets is ruining CDM? Do you know that the video you took from from Rwakatare's home and taking the same to the public is also a rubbish thing? Do you know your affiliation to the so callled .... is also a strong holding of discrimination within the party? Anyway and the list goes on.... In short I wl not join CDM because of you. And to cut you and others short, I have my work, it pays me. I am not the one to stay stranded folding my hands just for waiting filth money from politicians. I am only their voter (especially for those empresses me) and may be their an inactive Party member. Ngoja nikale nipate nguvu ya kuchapa kazi, Ben endelea na kuangalia kila post ijayo humu!
 
Back
Top Bottom