Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

Do you know that you are among ruining CDM, do you know that your empty-but-must-argue contributions are distorting CDM? Do you know that your carrying poison in your pockets is ruining CDM? Do you know that the video you took from from Rwakatare's home and taking the same to the public is also a rubbish thing? Do you know your affiliation to the so callled .... is also a strong holding of discrimination within the party? Anyway and the list goes on.... In short I wl not join CDM because of you. And to cut you and others short, I have my work, it pays me. I am not the one to stay stranded folding my hands just for waiting filth money from politicians. I am only their voter (especially for those empresses me) and may be their an inactive Party member. Ngoja nikale nipate nguvu ya kuchapa kazi, Ben endelea na kuangalia kila post ijayo humu!

The daftest clown on the forum.Cant you do better than this?

You wont join CHADEMA?

Who do you think you are.?Suit yourself dude!

Actually,Chadema kingekua na wanachama wenye fikra mgando kama ulioonyesha hapa hakuna ambaye angekipa attention.Reckless utterance ni kipimo cha fikra mgando.

Have funny !
 
Chris Lukosi ungekuwa na akili wala himu jf usingekuwa unaandika lakini kwa kuwa unafikiria kwa kutumia masaburi na tumbo bado emeng'ang'ania tu unawashwa na nini we mtoto wa watu?
Lumumba wankupa posho halafu unajidai msomi ulienda kusoma nini au ulikuwa shamba boy huko kwanza tunasikia ulifukuzwa huko kwa utapeli sasa watu wachafu wasio wasafi kama wewe hata kwenye chama hawahitajiki umezoea wizi nenda ccm kwa wezi qenzako Chadema huna nafasi hatuwezi kuwa na wendawazimu na wezi kama wewe

Saaana utakuwa sawa na KONDOM tu utatumika mwisho watakutupa tu wako wapi wenzio akina Mtela na Juliana wamekuwa makatapila ya kuvunja pori wanaume wapite sembuse kibaka wewe?

Utawaandalia wenzio tu mwiaho wa siku hata ubunge hautaambuia hata Udc kalaghabaho
Hivi unamfahamu huyo unayemtukana vizuri?
Wewe mwenye akili mbona unaandika humu.
Jmaa siyo kenge kama wewe na hahitaji kulipwa na mtu jamaa ni zaidi ya hao viongozi wako ukiondoa Mtei, Ndesapesa na DJ kwa mshiko
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

Japo haujajibiwa kama ulivyohitaji kujibiwa lakini nitakujibu hivi:

Kwanza ulichokosea ni kukusanya mambo mengi yanayosemwa juu ya CHADEMA na kuwa kigezo kwenye uwoga wako wakuingia CDM.Hayo yote uliyoyaongea yaweza kuwa sawa au si sawa,sababu kesi ya kina Lwakatare hata mahakamani hajasomwa na hukumu kutolewa.Tulilishwa maneno matamu kuhusu CUF miaka ile kuwa ni wadini yaani waislamu wa siasa kali,wameleta mapanga nk,nk na mwisho wa siku wanachama wa CUF na waislamu wasiyonahatia waliuawa na mwisho wa siku tumeiona na tunaiona CUF inavyoanguka.

Pili Zitto alikana kutaka kuuawa na Dr.Slaa na hilo kwa mtu asiyefungamana na upande wowote ni entry point ya kujua kuwa kuna siasa chafu zinazoendelea nchini kwetu.Na ndiyo maana hata wewe mwenyewe uliyeandika umeweka akina sijui wengi kwa kuwa hauna uhakika wa ulichokiandika na unachokisikia kila siku.

Tatu tathmin moyo wako,akili na utashi wako unataka nini kuifanyia jamii yako na taifa lako Tanzania.Kwa nini hutaki kuwa mwanachama wa CCM tena ,kitu gani kimekufanya usiipende CCM tena,zitafakari sababu zako kwa kina kwa nini siyo CCM tena,ukipata majibu amua aitha kubaki CCM na kuingia kwenye kundi la kusafisha CCM ambalo kuna watu wameshindwa au tafuta chama unachoona kinaendana na malengo yako bila kujali siasa chafu za U-CCM na UCHADEMA au amua kuwa neutral,rudisha kadi na kuwa mtanzania wa kawaida.

La mwisho ningependa kukuelimisha au kukushauri usipigie CHAMA kura yako pigia kiongozi unayefikiri atatupeleka kule tunakotaka kwenda.Msafi,Rushwa na ufisadi ni adui zake na anaonyesha hivyo.Hana Udini wala kufikiri kwa kutumia dini yoyote.Chagua Kiongozi bora wa kutuongoza ili kura yako usiijutie,na unayemfikiria kuwa ni bora.Na usiusemee moyo wa mtu huwezi jua anafikiri nini au kuwaza nini?
 
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli
mnakurupukr hadi huku?? mtoa post kajieleza vizuuuri alitaka kujiunga na CDM lakini sio CDM ... acha kukurupukia mambo
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.
 
The daftest clown on the forum.Cant you do better than this?

You wont join CHADEMA?

Who do you think you are.?Suit yourself dude!

Actually,Chadema kingekua na wanachama wenye fikra mgando kama ulioonyesha hapa hakuna ambaye angekipa attention.Reckless utterance ni kipimo cha fikra mgando.

Have funny !

Very nice Ben! Come again,
Can you give a feedback that Mabere Marando stated once that CDM has a system/device which may be used to send messages to people impersonating senders numbers to purported not the right owners of the respective phone numbers. Why such information are still in camera? Can you compare as to what Mwigulu stated that he had a video demonstrating CDM leaders planning an evil deal thareafter the video was released to the public! Why, we CDM, are just stating illusions? Don't you think that is also distorting our Party, was it difficult for Marando to come forth with real evidence? enjoy your evening Ben!
 
Nakushauri ndugu yangu uchague mtu na wala sio chama, hii inamaana kuwa sio kweli kwamba nani ya CDM ou CCM au CUF , NCCR na vyama vingine hakuna viongozi bora ingaweje sio wote wa kuaminia, CHAGUA KIONGOZI KWA MFANO SIO KWA AHADI ZAKE
 
Back
Top Bottom