Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli

virus detected
 
Huu ni ushauri wa tahadhari...matokeo yake magaidi wanatukana, wanadhani kila mshauri ni ccm
 
Hivi ccm itawaweka watu katika ajira ya kuchafua CDM hadi lini?

Ninyi mnaopangwa mfanye mambo ya hila na uchochezi wa uwongo kama huu, mnaweza kukumbuka kwamba kila nafsi itaonja mauti?

Mnajua kwamba kufa ni mara moja na baada ya kufa ni hukumu?

Mnafahamu kwamba Mungu ni Mungu mtakatifu na mwenye haki?

Mnajua kwamba kwamba siku ukifa, huendi na jk wala mwigulu maana nao wanahesabu zao za kutoa mbele za Mungu?

Mmewahi kujiuliza siku mtakayokufa ambayo haijulilkani mtamwambia nini Mungu kuhusu hizi dhambi mnazozifanya makusudi za kuumiza watu wengine kwa hila?

Mnajua kwamba Mungu hupatiliza wana uovu wa wazazi wao naam hata kizazi cha tatu na cha nne; na kwamba kwa dhambi hizi mnatengeneza laana kwa vizazi vyenu?

MKITAMBUA HILO, MTAJUTIA MAOVU YENU NA KUTUBU DHAMBI HIZO NA KUZIACHA. ANAYETAKA UMSINGIZIE MTU, UMNG'OE MENO, KUCHA NA MACHO AMA UMUUE KWA HILA, MWAMBIE AKAFANYE MWENYEWE. UTAJIPONYA NAFSI YAKO NA GHADHABU YA MUNGU NA UTAOKOA VIZAZI VYAKO NA LAANA ZA KURITHI.

TUBUNI SASA MKAGHAIRI HIZI TABIA ZENU ZA KUSHINDA MTANDAONI MNASINGIZIA WATU UWONGO HUKU MKUJUA.

TAFUTENI KAZI ZA KUJIPATIA KIPATO KWA NJIA HALALI BADALA YA FEDHA ZA LUMUMBA ZILIZOJAA DAMU.

NINAWAONYA KWA KUWA NAWAPENDA. MSIDHANI KWA KUATHIRI WATU KWA HILA ZENU MTAMSHAWISHI MUNGU KWAMBA HAMKUJUA, MLITUMWA AMA MLILAZIMISHWA. MWOGOPENI MUNGU ALIYE NA UWEZO JUU YA MWILI NA ROHO.

tatizo la machadema ndio hili, kila anayepingana nao kwa hoja ni ccm, hata kama ana hoja nzuri ya kujenga...hivi inahitajika uwe na degree ngapi kujua kuwa mkurugenzi wa usalama wa chadema ni gaidi na tunapswa kukemea hilo
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

No brainer
 
60%naamini mleta mada ni gamba.any way for the sake of40%,kama huamini kuwa hayayote ulosema yanakukatisha tamaa yanatengenezwa na ccm kwa lengo lakukabiliana nakasi ya cdm,basi we ni mchanga sana katika tasnia hii ya siasa.
 
Watanzania tuilinde nchi yetu kwa kukemea vitendo vya kiharamia na kigaidi.
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.
Mkuu wala wewe usihangaike na kujiunga na CHADEMA, KAZI za chama haziko kwenye keboard peke yake!!!! Pata ujumbe wa kazi za CDM Loliondo, watu wako kazini makamanda wamejipanga kumkomboa Mtanzania, labda hujui unachohitaji kwa ukombozi wa nchi yako pole!!!

UHASAMA wa taifa (TISS) at work.

Aliyeanzisha thread hii si mwana CHADEMA na wala hana mpango nayo. Wording inadokeza ni hao hao kwa maelekezo toka Magogoni na Lumumba. Iko siku wataujutia udhalimu huu.
Kwa kifupi CCM na washirika wao ( Uhasama wa Taifa wakae wakielewa hawana tena uwezo wa kutudanganya maana tumewabaini, tumewabeza na tutawaaibisha. Mapambano yanaendelea!
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

naona unazungumzia ugaidi, ufisadi, uuaji vitu ambavyo hata serikali ya ccm imeshindwa kuthibitisha, huoni ww una lako jambo wala huna nia hiyo unayodai
 
Aliyeanzisha thread hii si mwana CHADEMA na wala hana mpango nayo. Wording inadokeza ni hao hao kwa maelekezo toka Magogoni na Lumumba. Iko siku wataujutia udhalimu huu.
Kwa kifupi CCM na washirika wao ( Uhasama wa Taifa wakae wakielewa hawana tena uwezo wa kutudanganya maana tumewabaini, tumewabeza na tutawaaibisha. Mapambano yanaendelea!

umetumwa wewe,kwa hiyo wewe ni moderator au ni mwathirika ile video ya lwakatare....
 
Mwe.... yaani kila mtu akijiskia anaruka hewani atakavyo, kazi tunayo watanzania...
 
Aliyeanzisha thread hii si mwana CHADEMA na wala hana mpango nayo. Wording inadokeza ni hao hao kwa maelekezo toka Magogoni na Lumumba. Iko siku wataujutia udhalimu huu.
Kwa kifupi CCM na washirika wao ( Uhasama wa Taifa wakae wakielewa hawana tena uwezo wa kutudanganya maana tumewabaini, tumewabeza na tutawaaibisha. Mapambano yanaendelea!

nadhani ni bora utulie ili dawa iingie vizuri
 
hakika hujajitambua bado, ukijitambua utarudi tena hapa kusema chadema ndio wakombozi. Hongera kwa kupata mlo wa leo kwa post isiyoeleweka.
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

:rockon:Wewe huna lolote boya tu wewe,leo unaleta jukwaani maneno ambayo huna uhakika nayo wala wapuuzi kama wewe hauna nafasi Chadema kaa tu huko uliko,huna mpya:iamwithstupid:
 
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli

sumu, is arround the forum. Weka mbali na binadamu
 
Tunahitaji kura yako tu 2015 na ulinzi ma*she*ta*ni kama akina Maige wa Msalala wasiibe, we baki huko huko
 
Mmmmmh mbona post yako haioneshi wasiwasi zaidi ya propaganda za ccm?
Hebu tuoneshe udini wa chadema basi?
 
ww mtoa mada utakua umekula hii kitu

images
Hujamkosea!
 
Back
Top Bottom