Kama vile naanza kukata tamaa na CHADEMA

Una element za ugamba

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi ccm itawaweka watu katika ajira ya kuchafua CDM hadi lini?

Ninyi mnaopangwa mfanye mambo ya hila na uchochezi wa uwongo kama huu, mnaweza kukumbuka kwamba kila nafsi itaonja mauti?

Mnajua kwamba kufa ni mara moja na baada ya kufa ni hukumu?

Mnafahamu kwamba Mungu ni Mungu mtakatifu na mwenye haki?

Mnajua kwamba kwamba siku ukifa, huendi na jk wala mwigulu maana nao wanahesabu zao za kutoa mbele za Mungu?

Mmewahi kujiuliza siku mtakayokufa ambayo haijulilkani mtamwambia nini Mungu kuhusu hizi dhambi mnazozifanya makusudi za kuumiza watu wengine kwa hila?

Mnajua kwamba Mungu hupatiliza wana uovu wa wazazi wao naam hata kizazi cha tatu na cha nne; na kwamba kwa dhambi hizi mnatengeneza laana kwa vizazi vyenu?

MKITAMBUA HILO, MTAJUTIA MAOVU YENU NA KUTUBU DHAMBI HIZO NA KUZIACHA. ANAYETAKA UMSINGIZIE MTU, UMNG'OE MENO, KUCHA NA MACHO AMA UMUUE KWA HILA, MWAMBIE AKAFANYE MWENYEWE. UTAJIPONYA NAFSI YAKO NA GHADHABU YA MUNGU NA UTAOKOA VIZAZI VYAKO NA LAANA ZA KURITHI.

TUBUNI SASA MKAGHAIRI HIZI TABIA ZENU ZA KUSHINDA MTANDAONI MNASINGIZIA WATU UWONGO HUKU MKUJUA.

TAFUTENI KAZI ZA KUJIPATIA KIPATO KWA NJIA HALALI BADALA YA FEDHA ZA LUMUMBA ZILIZOJAA DAMU.

NINAWAONYA KWA KUWA NAWAPENDA. MSIDHANI KWA KUATHIRI WATU KWA HILA ZENU MTAMSHAWISHI MUNGU KWAMBA HAMKUJUA, MLITUMWA AMA MLILAZIMISHWA. MWOGOPENI MUNGU ALIYE NA UWEZO JUU YA MWILI NA ROHO.
 
we mbulula kweli, unakata tamaa hata kabla ya picha kuanza, kama vipi hama nchi, waachie wanaharakati walete mabadiliko, jiulize wewe umefanya nini kuikomboa nchi yako si kuwa kifuata upepo! nkt

picha ya ugaidi
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

Mkuu Avanti,sidhani kama huu uzi wako na uharo vinatofauti,kama huna cha kuandika ni vema ukasoma thread walizoandika GT kuliko kupost uharo.
 
Mleta mada utakuwa umelewa au umerogwa?
Thread nzima imejaa utumbo na uchafu mtupu.

Kwa hichi ulichoandika Sina hakika kama leo utalipwa posho hapa Lumumba.

Poor CCM!!!
 
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli

Kirusi at work!

Upo makini sana na kazi yako maana time zote upo hapa ku observe hiki na kile.
 
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa CHADEMA na kuifanya iwe na kura yangu ya kudumu.

Kadri siku zinavyoenda naanza kuwaona si HACEDAM si CCM, wote ni wale wale - tena tunaweza kuwaita ni wao na sisi ni sisi. CHADEMA hakina tofauti tena na CCM, na tena inaelekea kubaya zaidi.

Ndani ya CHADEMA huwezi kukwepa mambo ya ufisadi, yapo. Mambo ya ugaidi, udini na ukanda nao unaonekana kushamiri.

Nimechoshwa zaidi na mipango ya matukio ya kuwafanyizia watu (Zitto kulishwa sumu, Msack sijui, Kibanda naye sijui..) haya yote nayaona kama sio mema na yanaanza kuniaminisha kuwa hata Wangwe mtani wangu haikuwa hivi hivi tu! Kumekuwa na kujaribu kujikosha kwingi, sijui Saanane, sijui Zitto, sijui Mnyika, wote hawa wamekuwa sawa na Mwigulu, Ze Mutu na Nape kwa sababu sijaona cha maana wanasema humu JF zaidi ya kujitetea tetea tu kila mara.

Dr Slaa naye akiibuka ndiyo huwa ananichanganya kabisa, ingawa yeye ana kaunafuu fulani. Siku hizi hata ile gwanda yangu ninasita kuivaa, sababu naanza kuhusishwa na ugaidi hata kama sijawahi kuufanya, juzi juzi niliwaona CHADEMA pale Ubungo Plaza wamevaa magwanda nilishtuka kidogo nikimbie, sijui kwa nini nimeanza kupata hofu na magwanda haya.

mamluki
 
Una uhakika wewe ni Mwanachadema?Je post zako zilizopita hapa JF zinaweza kuku-define?

CHADEMA siyo Combat tu,Ile ni falsafa.Ungekua mwanachadema wa kweli ungetafuta ukweli kwa tafiti badala ya kukurupuka.Hizi sio sifa za wanachadema

Kuwa makini na uwe mkweli

Badala ya kumlaumu ungemuelimisha Avanti hizo falsafa; ndani ya Chadema kuna makundi ya wanamageuzi wa wa kweli na kundi la walaji; wote tunakuelewa wewe Ben Saanane ni umetekwa nyara na kundi la walaji kwa sababu ya njaa zako; huwezi kutetea ukweli wakati wewe mwenyewe umegubikwa na vumbi la uwongo na uzandiki.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Toa ushahìdi sio unajamba jamba tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom