marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 981
Wanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.
kwenye web gani??Wanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.
1and1.comkwenye web gani??
Wanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.
Sijawaelewa wakuuKuna jinsi ya kusajili website kwenye search engines, jaribu kugoogle, au baadae nikitulia nitakupa maelekezo.
Na ni bure
Add it to google and Bing, paying for domain, means buying domain, it has nothing to do with google/Bing .....
1. Go to google.com, seach, how to add business in google and bing, then follow instructions!
Nitumie pm jina la page yako nikusaidie kukuwekea,Sijawaelewa wakuu
Tayari mkuuNitumie pm jina la page yako nikusaidie kukuwekea,
ujaeleweka, funguka zaidi, kuitumia kivipi elezea tutoe good answerWanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.
Haiko hewani mkuuujaeleweka, funguka zaidi, kuitumia kivipi elezea tutoe good answer
Tayari iko connectedMaelezo hayatoshi hiyo domain name unataka uitumie kivipi?
Either unataka uiunge na blogger au another host or your servers
Domain name yako tayari imeshasajiliwa. Hapo niwewe kufanya allocation ya blog yako kwenye Host server yako au blog then itaanza kuwa access in public.Haiko hewani mkuu
Naomba maelekezoDomain name yako tayari imeshasajiliwa. Hapo niwewe kufanya allocation ya blog yako kwenye Host server yako au blog then itaanza kuwa access in public.
Ulikuwa na blog au ?Naomba maelekezo
Sijanunua host spaceUlikuwa na blog au ?
Umenunua host space?
Je ulikuwa na blog yoyote ambayo unataka kuweka hiyo domain name?Sijanunua host space
Ndio mkuuJe ulikuwa na blog yoyote ambayo unataka kuweka hiyo domain name?