Kama ushalipia domain name lakini bado ikawa haipatikani kwenye google tatizo ni nini?

marcus dedsec

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
378
250
Wanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.
 
Sauli

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
412
1,000
Kuna jinsi ya kusajili website kwenye search engines, jaribu kugoogle, au baadae nikitulia nitakupa maelekezo.

Na ni bure
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,554
2,000
Wanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.

Add it to google and Bing, paying for domain, means buying domain, it has nothing to do with google/Bing .....

1. Go to google.com, seach, how to add business in google and bing, then follow instructions!
 
marcus dedsec

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
378
250
Kuna jinsi ya kusajili website kwenye search engines, jaribu kugoogle, au baadae nikitulia nitakupa maelekezo.

Na ni bure
Sijawaelewa wakuu
Add it to google and Bing, paying for domain, means buying domain, it has nothing to do with google/Bing .....

1. Go to google.com, seach, how to add business in google and bing, then follow instructions!
 
GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
882
1,000
Wanajf nmeilipia domaine name yangu toka mwezi wa tisa lakini tatizo linakuja kwenye kuitumia naombeni msaada wenu ...asanteni sana.
ujaeleweka, funguka zaidi, kuitumia kivipi elezea tutoe good answer
 
sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
241
250
Maelezo hayatoshi hiyo domain name unataka uitumie kivipi?
Either unataka uiunge na blogger au another host or your servers
 
marcus dedsec

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
378
250
Maelezo hayatoshi hiyo domain name unataka uitumie kivipi?
Either unataka uiunge na blogger au another host or your servers
Tayari iko connected
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom