Kama upo hapa, please tuwasiliane mara moja

Kama upo hapa, please tuwasiliane mara moja

aisee,unapenda kuangalia vitu vionekane kwa size yake halisi,kama gari uione kwa ukubwa wake,sisi wengine acha tuendelee kuchungulia tu
 
Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati mbaya nao ratiba zao zimebana so tumeonana kwa muda mfupi tu wakati wa Breakfast na Lunch. nina muda mrefu wa kutosha kama kuna mtu anataka angalau tutembee tembee kufanya shopping hapa Las Vegas kabla sijaondoka kuelekea Italy kununua Nguo na France nako kuna Perfumes kali za designers flani wanazindua Jumamosi ijayo. so mdau yeyote aliye pande hizi anijulishe mi nitashughulikia suala lake la usafiri na malazi asiwe na mashaka kuwa itakuaje kwa hayo mambo.

Na huko Tz mnaendeleje? maana nina muda kidogo sijafika. kuna screen kubwa nataka nije nayo toka huku ni inch 292 sasa nawaza namna ya kuiingiza pale home maana naona kama mlangoni haitapita but nilitaka kujua kama naweza pata kampuni kubwa ya Ujenzi ambayo wanaweza wakabomoa sehemu tukaiingiza hiyo TV then wakarudishia kama palivyokuwa awali. hili nimeona niweze kushare nanyi tu maana inawezekana kukawa na wengine wenye uzoefu na jambo kama hili. then ile TV yangu ya inch 150 naangalia nipeleke kituo gani cha watoto yatima wawe nao wanaangalia vitu kama vilivyo. mimi napenda TV zangu nione mtu kwa height yake kama ilivyo na gari nalo lionekane kwa size yake halisi. hizi sijui za inch 70 plus ...naona kama zinaumiza macho na mtu unakuwa kama unachungulia kwenye simu.
LEO NAFUKUA TU NYUZI ZA TAJIRI NICHEKE WEEKEND IISHE
 
Back
Top Bottom