Kama unatumia samsung hauko salama tena
Kwenye samsung yangu ipo na naweza ku disable nikitaka
View attachment 3504448
Kakudanganya nani kuwa kudisable app kunaizuia kuchukua taarifa zako?

Iko hivi kuna level 3 za uingiliaji wa privacy unaofanywa na hizi Softwares(apps za simu/Computer) kwa malengo fulani.

๐Ÿ‘‰Level ya kwanza ni ile ambayo apps inachukua taarifa zako baada ya wewe kukubali terms+conditions pale unapoitumia hiyo app, na mara nyingi uingiliaji huu haunaga madhara makubwa kwani unahusu kuchukua taarifa kadhaa za mteja/user ili kumsaidia kujua haki zake kimtandao na matumizi sahihi ya data zake, pia kumlinda dhidi ya attacks kutoka kwa malwares, pia kumpa huduma stahiki.

๐Ÿ‘‰Uingiliaji wa pili ni ule ambao software zinakuomba wewe mtumiaji ruhusa ya chombo chako(computer/smartphone), kuruhusu baadhi ya features kuwa active katika kifaa chako ili kuwarahisishia wao wamiliki wa hiyo software kupata control ya kuzipata data kirahisi huku ukiahidiwa kupata secure service/huduma bora zaidi, au ufanisi mkubwa zaidi, na hapa ndipo mtaona baadhi ya apps kuomba permission ya location, Camera, microphone, storage, calendar, hii yote ni kuwasaidia wao kupata full control ya kifaa chako baada ya wewe mwenyewe kukubali.

๐Ÿ‘‰Uingiliaji wa TATU na wa mwisho huu unahusu software yenyewe kuchukua data/taarifa zako bila ya wewe kuruhusu iwe unapenda ama hupendi, na hii hufanyika pale unapodownload app husika au kuwasha data ktk kifaa chako au kwa baadhi ya softwares/ apps ziilizokuja na Operating system ya kifaa(Android/window/iOS) kama Google, Gmail, google map, google photos, na nyinginezo baada tu ya kuactivate account ktk kifaa chako huanza kuchukua taarifa zote za kifaa chako kwa kupenda kwako ama kutokupenda, kwakujua ama kutokujua.

Na taarifa hizi huwasaidia wamiliki wa software hizo ktk mauzo ya taarifa kibiashara na ushindani wa masoko ya rasilimali watu, pia ujasusi kwa baadhi ya mataifa target na watu target wenye maslahi na watu fulani, na uingiliaji huu wa taarifa huwezi kuuzuia kwa njia yoyote ile bali unaweza tu kuuchelewesha ama kuupunguza speed au kudanganya baadhi ya data lakini haiondoi ukweli kuwa kila ufanyacho kinakuwa recorded na kinatunzwa Kwa matumizi ya baadae kama kinafaa.

Ktk technology hakuna kinachopotea asikudanganye mtu kuwa kufuta kitu ktk simu yako inakuwa imeisha hilo halipo, kila ufanyacho ktk mtandao kinahifadhiwa ktk data centers ambapo umuhimu wake ndio utaamua kitumike au kiwe useless.

Mfano mdogo tu, kuna apps zinaweza kukupa picha yako ambayo hujui kama ulipigwa wakati ukitumia simu, sauti yako yako ambayo hukujua kama ulirecordiwa, fingerprints zako, aina ya tabia yako kulingana na maeneo unayopendelea kuingia ktk mitandao, au maeneo unayoshinda physically au watu unaokutana nao na kuwasiliana nao, hili mtambue kuwa, wenye technology sizungumzii hawa wa huku kwetu wasiojua hata kuinstall windows ktk computer zao.

Nazungumzia watu wa dunia ya kwanza wakiamua kukupata watakupata tu hata ufiche taarifa zako zote, ila siku ukajiroga kutumia simu yoyote yenye screen touch na front camera jua umekwisha, taarifa zako za sura na fingerprints zitawapa maelekezo yote, na kitendo tu cha kutumia kifaa cha Android OS, windows OS, jua umekwisha.

WE ARE NOT SAFE
 
Sasa hao nyumbu watapata nini kwangu aiseeee! Labda wawauzie hizo data mbogamboza wetu wa hapa nchini.
Huwezi kutambua umuhimu wako mpaka pale utakapojuwa wewe pia ni faida kwao maana unatumika kuwaingizia faida kupita utazamaji wa matangazo ambayo huwezi kuyazuia na pia kuwapa faida ya rasilimali watu kupitia different terms unazokibali ktk apps/sites huku sielezi kitu.

Note this, si kila ufuatiliaji una madhara, ufuatiliaji hasa kwa makapuku maranyingi unahusu uchujwaji wa data za kimasoko Kupitia mapendeleo ya wateja ktk baadhi ya bidhaa wanazozihitaji ama kutumika ktk dhana nyingine ambayo kwao ni faida japo indirect way.
 
Bongo kuna raha yake. Mkazi wa Ikwilili, Israel inadukuwa mawasiliano yake. Huku anawasilianaga na michepuko yake na wauza mchicha. Ili iweje? Nadhani ungelenga kundi fulani, ambalo huo udukuzi ungekuwa na masrahi kwao.
Ila tu ujue, hakuna mtumiaji wa simu alie salama. Hata mmoja,
Si kila uingiliaji wa taarifa za mtumiaji wa simu una madhara jamani tuelimike, ujajusi upo wa aina nyingi ikiwepo ujajusi wa kibiashara ambao ndio unaongozwa na makampuni ya kichina ktk baadhi ya apps mnazozipenda wabongo kama vile TikTok, Free VPN, Porn sites, Meta Social nets kama Insta, Facebook, Whatsapp, pia softwares zinazokuja na Operation system kama Gmail, Google, Google map tena hii ndio hatar.

Taarifa zote hizi huuzwa kwa bei ghali kwa Makampuni/Masoko/wamiliki wa bidhaa ambazo zinaendana na wewe mtumiaji, ndiomaana ktk simu yako unapata matangazo ambayo yanafanana na vitu unavyovipenda, iwe vyakula, electroni devices, hotels, magari hizi zote ni Expensive data zinachukuliwa kwako na hufaidiki nazo bali wanafaidika wajanja.

Tuelimike jamani
 
Kuna matishio huwa hayawahusu wabongo ikiwemo hili...
 
Huwezi kutambua umuhimu wako mpaka pale utakapojuwa wewe pia ni faida kwao maana unatumika kuwaingizia faida kupita utazamaji wa matangazo ambayo huwezi kuyazuia na pia kuwapa faida ya rasilimali watu kupitia different terms unazokibali ktk apps/sites huku sielezi kitu.

Note this, si kila ufuatiliaji una madhara, ufuatiliaji hasa kwa makapuku maranyingi unahusu uchujwaji wa data za kimasoko Kupitia mapendeleo ya wateja ktk baadhi ya bidhaa wanazozihitaji ama kutumika ktk dhana nyingine ambayo kwao ni faida japo indirect way.
Kama ni hivi tumekwisha.
 
View attachment 3504437

Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.

App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.

View attachment 3504438

App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.

Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
Soma majibu ya AI

This is a topic that has generated some recent controversy and concern, particularly in certain regions.

The AppCloud app, pre-installed on some Samsung Galaxy smartphones (particularly the Galaxy A, M, and F series in specific regions like West Asia and North Africa - WANA), is not a cloud storage service as its name might suggest.

Here is what is happening regarding the AppCloud app:
โš ๏ธ Controversy and Concerns
  • Third-Party App Recommender/Bloatware: AppCloud acts as a third-party application recommender, often prompting users to install other applications during the device setup process.

  • Privacy and Data Harvesting: The most significant concern is that AppCloud has been reported to collect a large amount of sensitive personal data, including biometric data, IP addresses, and device fingerprints, often without the user's explicit knowledge or clear consent.

  • Inability to Uninstall: Reports indicate that AppCloud is deeply integrated into the phone's operating system, making it nearly impossible for a regular user to uninstall it without "rooting" the device, which can void the warranty and introduce security risks.

  • Lack of Transparency: Critics point out that Samsung and the developer have not provided sufficient transparency regarding how AppCloud functions, its data collection practices, or an easy method for users to opt out or remove the software.

  • Developer Ties: The app is reportedly associated with the Israeli-founded company ironSource (now owned by Unity), which has raised additional legal and ethical concerns in regions (like WANA) where Israeli companies may be legally barred from operating.

  • ๐Ÿ“ฑ What You Can Do (If You Have the App)
While completely uninstalling it may be very difficult for most users, you can try to limit its activity:
  • Disable the App: You may be able to find AppCloud in your phone's list of applications (often under system apps) and disable it. This should prevent the application from running, though some users have reported it reappearing after system updates.

  • Limit Permissions: Review the app's permissions and revoke any unnecessary access it has to your data or device functions.
The situation is primarily a privacy and security issue concerning unwanted pre-installed software ("bloatware") and data collection. Samsung has received calls from organizations to increase transparency and offer a simple, non-root method for users to opt out and remove the application.

Kwa kiswahili cha AI
Hili ni suala ambalo limezua utata na wasiwasi hivi karibuni, hasa katika maeneo fulani.

Programu ya AppCloud, ambayo huja ikiwa imefungwa (pre-installed) kwenye simu zingine za Samsung Galaxy (hasa Galaxy A, M, na F katika mikoa maalum kama West Asia na North Africa - WANA), si huduma ya hifadhi ya wingu (cloud storage) kama jina lake linavyoweza kupendekeza.

Hili ndio linaloendelea kuhusu programu ya AppCloud:

โš ๏ธ Utata na Wasiwasi Muhimu​


  • Kipendekeza Programu za Nje/Bloatware: AppCloud hufanya kazi kama kipendekeza programu cha watu wengine, mara nyingi huwahimiza watumiaji kufunga programu zingine wakati wa mchakato wa kuweka simu.
  • Faragha na Ukusanyaji wa Data: Wasiwasi mkubwa zaidi ni kwamba AppCloud inaripotiwa kukusanya kiasi kikubwa cha data ya kibinafsi, ikiwemo data ya kibaolojia (biometric data), anwani za IP, na "alama za kidole" za kifaa (device fingerprints), mara nyingi bila kibali cha wazi cha mtumiaji.
  • Kushindwa Kuondoa (Uninstall): Ripoti zinaonyesha kuwa AppCloud imejumuishwa kwa kina katika mfumo wa uendeshaji wa simu, na kufanya iwe karibu haiwezekani kwa mtumiaji wa kawaida kuiondoa bila "rooting" kifaa, jambo ambalo linaweza kubatilisha udhamini (warranty) na kuleta hatari za kiusalama.
  • Ukosefu wa Uwazi: Wakosoaji wanasema kuwa Samsung na msanidi programu hawajatoa uwazi wa kutosha kuhusu jinsi AppCloud inavyofanya kazi, taratibu zake za kukusanya data, au njia rahisi kwa watumiaji kujiondoa au kuondoa programu hiyo.
  • Mahusiano na Msanidi: Programu hiyo inaripotiwa kuhusishwa na kampuni ya ironSource yenye asili ya Israeli (sasa inamilikiwa na Unity), jambo ambalo limezua wasiwasi wa ziada wa kisheria na kimaadili katika mikoa (kama WANA) ambapo makampuni ya Israeli yanaweza kuzuiwa kisheria kufanya kazi.

๐Ÿ“ฑ Unachoweza Kufanya (Ikiwa Una Programu Hii)​


Ingawa kuiondoa kabisa kunaweza kuwa kugumu sana kwa watumiaji wengi, unaweza kujaribu kupunguza shughuli zake:
  • Zima Programu (Disable): Unaweza kuipata AppCloud katika orodha ya programu za simu yako (mara nyingi chini ya programu za mfumo) na kuizima. Hii inapaswa kuzuia programu hiyo kufanya kazi, ingawa baadhi ya watumiaji wameripoti inajitokeza tena baada ya kusasisha mfumo (system updates).
  • Punguza Ruhusa (Limit Permissions): Pitia ruhusa za programu hiyo na ubatilishe ufikiaji wowote usio wa lazima ulionao kwenye data yako au utendakazi wa kifaa.
Hali hii kimsingi ni suala la faragha na usalama linalohusu programu isiyohitajika iliyofungwa kabla ("bloatware") na ukusanyaji wa data. Samsung imetakiwa na mashirika mengi kuongeza uwazi na kutoa njia rahisi kwa watumiaji kujiondoa na kuondoa programu hiyo bila kuhitaji "rooting."
 
Back
Top Bottom