Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,367
- 2,800
Sasa mimi sina wasiwasi kwa sababu hiyo app hata kama wana spy taarifa zangu hawawezi kukutana na jambo lolote litakalohatarishausalama wangu, labda sio salama kwa magaidi na wahalifu wa kimataifa ila kwa sisi wananchi wa kawaida sioni kama watakukutana na chochote usefulView attachment 3504437
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.
App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.
View attachment 3504438
App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.
Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu declared that anyone who owns a mobile phone is essentially carrying a piece of Israel in their hands, praising Israel’s ability to produce medicines, weapons, and phones.View attachment 3504437
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.
App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.
View attachment 3504438
App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.
Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
Wewe una utindio wa ubongo na bila shaka ni mwalimu wwKwenye samsung yangu ipo na naweza ku disable nikitaka
View attachment 3504448
Hizo app zinauzwa, si ulisikia walinunua limashine huko North Korea?Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu declared that anyone who owns a mobile phone is essentially carrying a piece of Israel in their hands, praising Israel’s ability to produce medicines, weapons, and phones.
View attachment 3504437
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.
App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.
View attachment 3504438
App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.
Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
Sio lazima zitumike hizo ujue hata akina infinix,oppo,Huawei wapo pia!View attachment 3504437