Kama unatumia samsung hauko salama tena

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
App balaaa_20251119_181701_0000.png

Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.

App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.

SAMSUNG_AFP-1200x686.jpg

App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.

Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
 
Kwa technology ya sasa siwezi kushangaa kabisa kwani kila mmoja anajitahidi kumchunguza mwenzie
Hata smart fridge na EV tuziogope sana

MoD ya UK wameshtuliwa na MPs wao na wanajitahidi kukaa mbali na magari ya Mchina
Kuna ripoti imetoka imeeeleza mengi sana
 
Dunia siyo mahali salama tena siyo tu kwa mawasiliano, hata unapotoka kazini kuelekea nyumbani geuka nyuma kuangalia nani anakufatilia .

Huko mtaani mambo yameharibika hata ukipigiwa simu usitoke nje hovyo hakuna kuamini yoyote hata awe nani.
 
View attachment 3504437

Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.

App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.

View attachment 3504438

App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.

Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
Sasa mimi sina wasiwasi kwa sababu hiyo app hata kama wana spy taarifa zangu hawawezi kukutana na jambo lolote litakalohatarishausalama wangu, labda sio salama kwa magaidi na wahalifu wa kimataifa ila kwa sisi wananchi wa kawaida sioni kama watakukutana na chochote useful
 
Watekaji wakiona hii watatamani wapate access, maana wakikukamata wanakunyanganya simu na hata laptop kama unayo na baada ya hapo watakutoa kucha na meno hadi uwatolee nywila.
 
View attachment 3504437

Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.

App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.

View attachment 3504438

App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.

Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu declared that anyone who owns a mobile phone is essentially carrying a piece of Israel in their hands, praising Israel’s ability to produce medicines, weapons, and phones.
 
Labda urudi enzi za ujima, lakini kama unatumia Simu, laptop na vitu vinavyofanana na hivi basi jua Tu kuwa NSA, MSS, MOSSAD, MI6, FSB wakiamua kukutafuta watakupata Tu.
 
Bongo kuna raha yake. Mkazi wa Ikwilili, Israel inadukuwa mawasiliano yake. Huku anawasilianaga na michepuko yake na wauza mchicha. Ili iweje? Nadhani ungelenga kundi fulani, ambalo huo udukuzi ungekuwa na masrahi kwao.
Ila tu ujue, hakuna mtumiaji wa simu alie salama. Hata mmoja,
 
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu declared that anyone who owns a mobile phone is essentially carrying a piece of Israel in their hands, praising Israel’s ability to produce medicines, weapons, and phones.
Hizo app zinauzwa, si ulisikia walinunua limashine huko North Korea?
 
View attachment 3504437

Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.

App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.

View attachment 3504438

App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.

Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
View attachment 3504437

Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa.

App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa kuinstall app nyingine ndani ya Simu Yako. Ni app ambayo imeundwa na Israeli kupitia Kampuni ya IronSource ambayo Kwa sasa inamilikiwa na Kampuni ya Unity Toka Marekani.

View attachment 3504438

App hiyo haiwezekani kufutika kwani inafuatilia taarifa mbalimbali za Siri za watumiaji wa Simu za Samsung bila wao kujua. Kuna ripoti inaonyesha baadhi ya nchi zimeanza kupiga marufuku Matumizi ya Simu za Samsung kutokana na tabia zake.

Japo Samsung walikana Kwa kusema " Wao Wanatengeneza vifaa ambavyo ni salama Kwa watumiaji wake Kwa kufuata kanuni na sheria za Eneo Husika".
Sio lazima zitumike hizo ujue hata akina infinix,oppo,Huawei wapo pia!
 
Sasa hao nyumbu watapata nini kwangu aiseeee! Labda wawauzie hizo data mbogamboza wetu wa hapa nchini.
 
Back
Top Bottom