Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,351
- 3,296
Mzee hizi hesabu zako hazina uhalisia, hivi unajua maji ya 450 ni kiasi gan??kumbuka Wakati wakuanza Mradi
Maji ni mhimu kwa kujengea
Pamoja na kumwagilia
So kwa Dar es salaam sh. 450,000 Inaweza kua ndogo
Kuhusu eneo kua Flat au Slopy
Hesabu zinakidhi matakwa yote tajwa hapo haya
Ahsante kwa maswali kama kuna kitu hujakielewa uliza