Kama unataka kujenga Fensi/Uzio pitia hapa tujuzane

Nov 19, 2017
815
1,021
Uzi huu ni maalum kwa wadau wa Jf
Wanaotarajia kujenga Fensi
Nitakutajia idadi ya Vifaa pamoja na gharama za Ufundi
Chakufanya nitajie ukubwa wa eneo lako
Na Mahali unakotaka kujenga Fensi yako.
Karibu ktk mjadala
Unaweza kuuliza hapa au kupitia
Whatsapp 0652 881 000
IMG_20180226_165204_407.jpg
IMG-20180722-WA0301.jpg
 
Kiwanja chagu ni 30×50 Chanika nipe hesabu yake
30x50
=Sqm 1500
Tofali 5500
Cement mifuko 120
Mchanga Magari makubwa manne
Nondo 72
Kokoto sh. 800,000
Ringi 250 (Moja inauzwa sh. 500)
Waya kg 10
Misumali kg 20
Mbao za Linta (Utakodi weka bajeji ya sh. 200,000)
Maji sh. 400,000
Ufundi sh. Ml 3.5 (maongezi kidogo yapo)
Usafiri wa vifaa sh. 150,000
Gharama hizi ni nje ya Plaster na Rangi.
 
Kiwanja ni 29 kwa 42.kipo dar .naomba makadirio ya gharama mpaka ufundi.rangi na plaster usiweke
M. 29x42=Sqm 1218
Tofali 4800
Cement mifuko 113 (Hapa nazungumzia Cement no. 42.5)
Nondo 55
Mchanga gari kubwa tatu (kwa Dar Maarufu kama Mende)
Ringi 170 (ringi moja inauzwa sh. 500)
Waya kg 10
Mbao za kukodi kwa ajili ya Linta (weka bajeti ya sh. Laki mbili na ishirini)
Maji sh. 450,000
Kokoto sh. 750,000 (nazungumzia kokoto zakawaida sio nyeusi)
Usafiri wa vifaa sh. 120,000
Sh. 200,000 kwa ajili ya Luva.
Ufundi sh. 2,750,000
Ahsante naomba kuwasilisha.
 
why location matters
Kuna sababu nyingi zakutaja Location
Mfano kama Ujenzi upo Dar ni gharama kidogo ukilinganisha na mikoani
1.Bei ya chakula iko juu kwa Dar es salaam
Wakati mikoani bei iko chini na 80% MaBosi wa mkoani huwaandalia chakula mabosi

2.Ili fundi uweze kufanya kazi zako unahitaji wasaidizi
Kwa Dar es salaam saidia Fundi kwa kutwa analipwa sh. 15,000 wakati mikoani ni kati ya sh. 7,000-10,000

3.Baadhi ya malighafi za Ujenzi kama Mchanga na mawe pamoja na Tofali za kuchoma bei zake ziko chini sana

4.Jamii Forum inawatumiaji wengi ambao wako ulimwenguni kote
Ni mhimu kutaja Location
Ili kuepuka kujibu masuala ambayo yapo nje ya uwezo wngu.
 
M. 29x42=Sqm 1218
Tofali 4800
Cement mifuko 113 (Hapa nazungumzia Cement no. 42.5)
Nondo 55
Mchanga gari kubwa tatu (kwa Dar Maarufu kama Mende)
Ringi 170 (ringi moja inauzwa sh. 500)
Waya kg 10
Mbao za kukodi kwa ajili ya Linta (weka bajeti ya sh. Laki mbili na ishirini)
Maji sh. 450,000
Kokoto sh. 750,000 (nazungumzia kokoto zakawaida sio nyeusi)
Usafiri wa vifaa sh. 120,000
Ufundi sh. 2,750,000
Ahsante naomba kuwasilisha.
Mmmmh...
Twende taratibu mtaalam,
Maji 450,000/=!!!?
Haya ni maji au maziwa!!?
Harafu hakuna consideration ya topograph ya site!? (Flat, Slopy etc.)
 
Mmmmh...
Twende taratibu mtaalam,
Maji 450,000/=!!!?
Haya ni maji au maziwa!!?
Harafu hakuna consideration ya topograph ya site!? (Flat, Slopy etc.)
kumbuka Wakati wakuanza Mradi
Maji ni mhimu kwa kujengea
Pamoja na kumwagilia
So kwa Dar es salaam sh. 450,000 Inaweza kua ndogo
Kuhusu eneo kua Flat au Slopy
Hesabu zinakidhi matakwa yote tajwa hapo haya
Ahsante kwa maswali kama kuna kitu hujakielewa uliza
 
Sqm 430,morogoro,nikadirie mkuu
Tofali 1700
Cement mifuko 48
Mchanga Gari moja kubwa
Nondo 22
Mbao zakukodi kwa ajili ya beam na nguzo sh. 100,000
Usafiri wa vifaa sh. 80,000
Maji sh. 150,000
Ringi pc 80 (ringi moja inauzwa sh. 500)
Waya kg 6
Kokoto sh.300,000
Ufundi sh. 900,000
 
Tofali 1700
Cement mifuko 48
Mchanga Gari moja kubwa
Nondo 22
Mbao zakukodi kwa ajili ya beam na nguzo sh. 100,000
Usafiri wa vifaa sh. 80,000
Maji sh. 150,000
Ringi pc 80 (ringi moja inauzwa sh. 500)
Waya kg 6
Kokoto sh.300,000
Ufundi sh. 900,000

Asante mkuu,ngoja nizichange then nikuchek tuyajenge mkuu
 
Back
Top Bottom