Kama unataka kujenga Fensi/Uzio pitia hapa tujuzane

kumbuka Wakati wakuanza Mradi
Maji ni mhimu kwa kujengea
Pamoja na kumwagilia
So kwa Dar es salaam sh. 450,000 Inaweza kua ndogo
Kuhusu eneo kua Flat au Slopy
Hesabu zinakidhi matakwa yote tajwa hapo haya
Ahsante kwa maswali kama kuna kitu hujakielewa uliza
Mzee hizi hesabu zako hazina uhalisia, hivi unajua maji ya 450 ni kiasi gan??
 
Mkuu kiwanja changu ni mita 20 kwa 20 kipo vikindu Dar-es-salaam
Mita 20x20=Sqm 400
Tofali 1560
Cement mifuko 48
Nondo 19
Ringi 70
Waya kg 5
Mbao za kukodi kwa ajili ya Beam na nguzo sh. 130,000
Kokoto sh. 270,000
Maji sh. 160,000
Usafiri wa vifaa sh. 65,000
Mchanga gari kubwa moja
Sh. 140,000 kwa ajili ya Luva
Ufundi sh. 990,000
Hesabu hii ni nje ya plaster na Rangi
Naomba kuwasilisha.
 
bOSSNamaanisha zile wire za fensi zenye vibox vidogo vidogo ambavo vinazuia hata PAKA na kuku kuingia ndani .. naomba bei yake ndugu kwa mita moja
Kuna hii pichani
Ina ukubwa wa
M 1.2 x M25
Uzito ni 22.5Kg.
Bei sh. Laki moja na kumi
IMG_20180912_103943.jpg
 
Mkuu, kiwanja ni Sqm 875. Kipo Madale, DSM.
Kwa kiwanja hicho
Tofali 3550
Cement mifuko 90
Mchanga gari kubwa mbili
Kokoto sh.750,000
Maji sh. 320,000
Ringi 163
Waya kg 12
Mbao za Beam na Nguzo utakodi sh. 180,000
Nondo 42
Ufundi sh. Ml 2.1
Utaweka sh. 600,000 (kwa gharama zinazoweza kuongezeka mfano luva n. K)
Karibu sana.
 
Kiwanja cha hatua 20×28 location madale
20x28=Sqm 560
Tofali 2187
Cement mifuko 61
Mchanga gari kubwa mbili
Kokoto sh.560,000
Waya kg 8
Ringi 132
Mbao zakukodi sh. 180,000
Maji sh. 280,000
Nondo pc 27
Luva sh. 180,000
Ufundi sh. Ml 1.3
Naomba kuwasilisha.
 
Mita 20x20=Sqm 400
Tofali 1560
Cement mifuko 48
Nondo 19
Ringi 70
Waya kg 5
Mbao za kukodi kwa ajili ya Beam na nguzo sh. 130,000
Kokoto sh. 270,000
Maji sh. 160,000
Usafiri wa vifaa sh. 65,000
Mchanga gari kubwa moja
Sh. 140,000 kwa ajili ya Luva
Ufundi sh. 990,000
Hesabu hii ni nje ya plaster na Rangi
Naomba kuwasilisha.
Naomba photo ya dizain ya fens inayokusudiwa kujengwa kwa mchanganuo huo mkuu ili tuyajenge
 
Back
Top Bottom